Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
- Thread starter
- #61
Leo nimeHaya magari yanapendwa Sana na wahindi, hawa wenzetu wakipata ajali fasta wanapelekwa ulaya kutibiwa,
Kuna mhindi mmoja yupo kariakoo mtaa wa kiungani anamiliki Volkswagen R32 hii mashine ni kama ndege hivi Kwa jinsi inavyokimbia
Sema kwa bongo Bado hatuna gari za drag race nyingi ni Subaru tu za mikeleleHaya magari yanapendwa Sana na wahindi, hawa wenzetu wakipata ajali fasta wanapelekwa ulaya kutibiwa,
Kuna mhindi mmoja yupo kariakoo mtaa wa kiungani anamiliki Volkswagen R32 hii mashine ni kama ndege hivi Kwa jinsi inavyokimbia