Drag race kufanyika Kigamboni kesho

Drag race kufanyika Kigamboni kesho

Mshindi Leo namba moja alikuwa huyo Audi sQ5
 

Attachments

  • PXL_20240602_121757131.PORTRAIT.jpg
    PXL_20240602_121757131.PORTRAIT.jpg
    4 MB · Views: 8
Namba mbili alikuwa huyu hapa
 

Attachments

  • PXL_20240602_121837764.PORTRAIT.jpg
    PXL_20240602_121837764.PORTRAIT.jpg
    3.7 MB · Views: 8
Walio shiriki drag race Leo niwapostie na video?
 

Attachments

  • PXL_20240602_124618696~2.jpg
    PXL_20240602_124618696~2.jpg
    3.1 MB · Views: 8
  • PXL_20240602_123256865.PORTRAIT.jpg
    PXL_20240602_123256865.PORTRAIT.jpg
    3.6 MB · Views: 7
  • PXL_20240602_122216907.jpg
    PXL_20240602_122216907.jpg
    1.4 MB · Views: 6
  • PXL_20240602_121837764.PORTRAIT.jpg
    PXL_20240602_121837764.PORTRAIT.jpg
    3.7 MB · Views: 7
  • PXL_20240602_100606907.jpg
    PXL_20240602_100606907.jpg
    1.7 MB · Views: 8
Kwa hapa DAR kama unataka kuipima gari yako nenda hapo darajani muda wa asubuhi SAA 12 jumapili maana panakuwa hakuna magari mengi ...hapa gari yako kama IPO vizuri unaweza kupata speed 160 .

Ningekuwa nipo DAR ningeenda kushuhudia Moto unavyomwagika
Kama risk taker, njia ya Ubungo Riverside, Flyover hadi Mlimani, unafika 180kph
 
View attachment 3006780Keiwood mzee wa Subaru... Yeye makelele tu Coco mbio hawezi..
Haya magari yanapendwa Sana na wahindi, hawa wenzetu wakipata ajali fasta wanapelekwa ulaya kutibiwa,
Kuna mhindi mmoja yupo kariakoo mtaa wa kiungani anamiliki Volkswagen R32 hii mashine ni kama ndege hivi Kwa jinsi inavyokimbia
 
Back
Top Bottom