Drag race kufanyika Kigamboni kesho

Drag race kufanyika Kigamboni kesho

Kama ile Tezza ambayo inafanyiwa udambwi na GTP na Jetcruza ikija hapo Kigamboni itawasumbua sana..

Chuma ina 1jzGte.. na inakubali boost vibaya mno..

Kuna project miaka ya nyuma ilikuw Tezza ya Dibo nafkir ilipigwa 2JzGte ikawa overpowered.. road haikai inakuvuta nje ya lane...........

Any legend out here...?
Ngoja malegend waje mkuu
 
Sio saana but nafuatiliaga since 2011, boosting 2.5 bars probably una piston kuanzia 6 na kuendelea🙌
 
GTR ya 2009 ikiwa stock tu HP Zake Ni 480,ndio maana nimebisha aisee.
Kwa nature pia ya ile Road GTR ita struggle sana.. ingekuw long run sawa... ampige ktk top end..

Kuanzia chini kwenda juu ile road ina slope flan hivi..

Turud ktk body weight... sijafanya comparison..

Weight ni jambo la kuzingatia sana ndio maana Drags nyingi huw wanatoa mpk siti za nyuma inabak ya dere tu... no excuses
 
Naweza kuona video boss?
 
Back
Top Bottom