Drag race kufanyika Kigamboni kesho

Haya magari yanapendwa Sana na wahindi, hawa wenzetu wakipata ajali fasta wanapelekwa ulaya kutibiwa,
Kuna mhindi mmoja yupo kariakoo mtaa wa kiungani anamiliki Volkswagen R32 hii mashine ni kama ndege hivi Kwa jinsi inavyokimbia
Leo nime

Sema kwa bongo Bado hatuna gari za drag race nyingi ni Subaru tu za mikelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…