Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Kwenye maisha kila mtu ana kipaumbele chake, hata kwenye muziki ni hivyo hivyo, kuna ambaye anafanya muziki ili apate fame na pesa na kuna mwingine anafanya muziki anaou'feel kutoka moyoni mwake bila kujali kama atapata fame na pesa au lah..Sasa unaleta ugumu wakati mwenzio anapiga hela kwa mauzo na fan base kubwa?? Dunia ya sasa unacheza na kipi kinalipa hata kwa muda mfupi kuliko kipi kitaishi masikioni muda mrf halafu mkwanja wa kubip.
Hahaha i feel you my nigga.Can't wait this Modafakin Album
You said it best.Kwenye maisha kila mtu ana kipaumbele chake, hata kwenye muziki ni hivyo hivyo, kuna ambaye anafanya muziki ili apate fame na pesa na kuna mwingine anafanya muziki anaou'feel kutoka moyoni mwake bila kujali kama atapata fame na pesa au lah..
Na hakuna hata mmoja kati yao anapata hasara, wote wananufaika kulingana na vipaumbele vyao.
I hate people that feel entitled [emoji28]I hate people who feel entitled look at me crazy cause i ain’t invite you, ohh you important? You are the moral to the story, you endorsing? mufa*, i don’t even like you!
All the stars... Kendrick all the way!!!!!!
Kwenye maisha kila mtu ana kipaumbele chake, hata kwenye muziki ni hivyo hivyo, kuna ambaye anafanya muziki ili apate fame na pesa na kuna mwingine anafanya muziki anaou'feel kutoka moyoni mwake bila kujali kama atapata fame na pesa au lah..
Na hakuna hata mmoja kati yao anapata hasara, wote wananufaika kulingana na vipaumbele vyao.
😀 😀 😀afu ongezea
kendric hana njaa[emoji847][emoji23]
4 Sure HommieHahaha i feel you my nigga.
Drake ana nyimbo nyepesi. Mfano God's Plan imejirudia sana maneno. Kendrick kazi zake zote ngumu kumeza, unasikiliza wimbo mara kumikumi bado hujaelewa anamaanisha nini hasa. Chukua sample ya Kendrick.
Loyalty
Poetic Justice
Backsteat Freestyle
Love
m.A.A.d City
Swimming Pools
Rigamortis
Since ametoa `Best I ever Had` miaka kumi iliyopita alikuwa ni top Hip Hop rapper nilimuelewa kupitiliza ila kadri kukicha anabadilika na kupoteza ile ladha ya Hip Hop, hapa mimi namuelewa zaidi Kendrick ila pia Drake ana nasafi yake kwa ladha tofauti, Legend T.I ndio huwa namuelewa kipindi chote.
A.M. to the P.M P.M. to the A.Mfunk
Piss out your per diem, you just gotta hate emfunk
If I quit your BM, I still ride Mercedes, funk
If I quit this season, I still be the greatest, funk
My left stroke just went viral
Right stroke put lil'baby in a spiral
Soprano C we like to keep it on a high note
Its levels to it, you and I know bitch be humble.
Mkulima wa mahindi
Naku salute Mkuu umeongea fact sana, wengine tunaangazia kwa juu juu tu bila kujua undani wa mambo.Mimi nadhani pia tuangalie uwezo wa wasanii kuchangia kwenye game ya muziki wa HipHop, watu kama Jay Z, Kanye West, Birdman na Lil Wayne hawa ni wasanii waliochangia zaidi kwenye muziki wa HipHop kwa kuwapa wasanii wengine fursa za kujaribu ndoto zao kwenye game.
Fikria “Mtu kama Jay Z ukiangalia mambo yote aliyoyafanya nyuma kuchangia kukuza vipaji vya wasanii unaweza ukataja njia alizotumia. Amewagundua watu kama Kanye West na badaae Kanye akatuletea Common na Big Sean. Birdman alituletea Lil Wayne na Juvenile na Wayne amewaleta watu kama Tyga, Drake na Nicki Minaj kwenye game. Kwahiyo mwisho wa siku swali kubwa ni ‘nani anajitoa zaidi kukuza vipaji kwenye game’ basi na sio suala la kulinganisha nani ni nani kwenye game.
Naku salute Mkuu umeongea fact sana, wengine tunaangazia kwa juu juu tu bila kujua undani wa mambo.
Ujue nini Mkuu It’s hard to truly figure out what makes one artist greater than another in a medium such as music, where there really is no one true quantitative measure of greatness. Yes, tunajua kuwa there are sales, Streaming numbers,Touring totals. Kwa mfano There are Grammys and Forbes’ “richest rapper” lists. But there are plenty of songs and albums that have topped charts Looking at u ya Flo-Rida ambayo the guy won Grammys pia Sorry ya Macklemore that weren’t universally or even moderately praised by rap fans as moving the culture forward or presenting bodies of work that are undeniably great mkuu.
Kwenye nini?
Drake hana msanij wa kufananishwa nae kwa Decade iliyoisha,anaongoza karibia kila kitu,,Drake ana impact kwao kuliko unavyodhani,,alaf Drake sio Mmarekani kumbuka,,lakini pia kinachopendwa na wengi ndo kizuri...mjamaa kashavunja record nyingi mno,ni jambo la kuheshimu sana,,,ila Kendrick ni mzuri sana kwenye kuielezea jamii na matatizo yake,Ken ni mkali ki'Lyrics na Metaphor kuliko Dreeze...
We gonna be Alright Gods plan