Moja kwa moja kwenye hoja yangu ,kuwa Balozi wa Rwanda nchini DRC amefukuzwa nakupewa masaa 48 awe ameshapotea mjini Kinshasa la si hvyo kitakachompata itakuwa history .
DRC wamechoka na upumbafu wa rwanda kwa kuendelee kuhihujumu nchi hyo kupitia kikundi Cha waasi Cha M23 kinacho ratibiwa vizur na serekali ya Rwanda sas wacongo wamechoka leo wamefanya maandamao mji mzima wa goma kuelekea mpkani mwa nchi ya Kigali kushinikiza Rwanda kuacha kuhihujumu Congo Dr.
Sas kwa upande wetu huku Tanzania tutumie nafsi hyo hyo kupinga ujinga na upumbafu wa Rwanda katk kuhujumu East Africa yetu .Tuungane na wenzetu wakongo kwani Ni jmaa zetu kupinga upuuzi wa Rwanda ili amani ipatikane mashariki mwa DRC ,Ni ujinga tukiendelee kumuongopa kagame na asipo kemewa na jumuhiya hii bas jamaa iko siku atakuja kutukalia kooni
Ni wajimu wa mam kumfukuza na kumrudisha nyumbani balozi huyo ili akili za kagame zireje na aone kuwa Hakuna mtu anamuunga mkono upuuzi wake anaoufanyia ndugu zetu kina Mayele,Moloko,Bangala ,Mwinyi zaheri,Tk master,Joicelomalisa,Makambo ,Tishishimbi , na wengine wote wanaocheza ktk ligi yetu pendwa ya nbc premier
Wakongo Ni ndugu zetu wa damu Kuna mtu aliwai nimbia kuwa ndugu zetu kbsa halisi kwa hapa Africa Ni wakongo hata john malecela Ana hasili ya Congo