DRC: Balozi wa Rwanda apewa saa 48 za kuondoka Nchini humo

Makabila mengibya kibongobya kibantu yametokea congo na cameroon enzi izo kama wachaga wasukuma wanyamwez wazaramo wagogo wapemba nk so n ndugu zetu hao sema mtoa mada sijafurahishwa kuhusisha haya mambo na UTOPWAX
 
Wewe una mtoto mkubwa kiasi hicho? Ulizaa ukiwa na miaka 5?
 
Rwanda ana ujinga wake wa tamaa ya kutafuta pesa kwa njia yoyote iwe halal au haramu.... Iwe Kisiasa, kijesh, kidiplomasia

Congo pia wametawaliwa na tamaa... Ushirikiano miongoni mwao ni mdogo katika kumaliza suala la waasi.


Hivi ni kweli nchi kama congo na ukubwa wake ule unaamini inashindwa kumaliza kikundi cha waasi hata kama kinasapotiwa namna gani,

Sasa nguvu ya kupigana vita na rwanda unaitoa wapi kama sio ujinga ujinga...

Kusanya nguvu tembeza kichapo kwa waasi... Watatajana tu wenyewe nani anawalea na nani kawaleta.. very simple
 
Mommadou Ndala aliwai kuchapana na M23 kwa moyo mmoja na alifanikiwa sana.
Badala yake mabosi wake jeshini wakamuua kwa wivu maana alipendwa sana na Kabila jr
 

Tanzania yenye misimamo isiyotetereka haipo tena:

Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…