chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh....after all, we can't found...
Wewe upo kama nchi yako mnalock down watu na kucopy method za wazungu kila kitu lakini covid-19 cases zinazidi kuongezeka kenya
Kati ya wasaliti wabaya hapa Africa ni wakenya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakukumbusha nini hii, Chernobyl? 😁What?? COVID-19 ni radiation disease?? Are you serious?? Is your conclusion based on science or assumptions? From what research? Do you have some clinical evidence au ni hizo story za conspiracy? Can a radiation disease be CONTAGIOUS or TRANSMITTED....... Aaaah nimechoka!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mashaka na congo kwa nini ikubali chanjo ifanyiwe majaribo kwake, wakati obama mwenyewe haja unga mkono chanjo kufanyiwa Africa nazani anajua mazara yake ni makubwa hapo badae. Africa siku tukiwa na sauti mmoja kila kitu kitakwenda sawa.DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official
The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday.
"We've been chosen to conduct these tests," said the head of the national biological institute, Jean-Jacques Muyembe.
"The vaccine will be produced in the United States, or in Canada, or in China. We're candidates for doing the testing here," Muyembe told a news briefing in comments that sparked controversy in DR Congo amid charges the population was being used as guinea pigs.
Muyembe suggested that clinical trials could begin in July or August.
"At some point, COVID-19 will be uncontrollable," the virologist said.
"The only way to control it will be a vaccine, just like Ebola. It was a vaccine that helped us end the Ebola epidemic."
Muyembe's comments came as two leading French doctors came under a storm of criticism after discussing on a television programme the idea of testing a vaccine for coronavirus in Africa.
Camille Locht, head of research at the National Institute of Health and Medical Research (INSERM) in Lille, and Jean-Paul Mira, head of intensive care at the Cochin hospital in Paris, suggested that Africa offered better conditions for testing the vaccine.
Their remarks sparked furious criticism, with the French anti-racism NGO, SOS Racisme, saying, "No, Africans aren't guinea pigs".
Even former international and Ivory Coast football star Didier Drogba joined in.
"It is inconceivable that we continue to accept this. Africa is not a laboratory. I strongly denounce these very serious, racist and contemptuous words," the former Chelsea and Marseille striker wrote on his Facebook page and on Twitter.
"Help us save lives in Africa and stop the spread of the virus that is destabilising the whole world instead of seeing us as guinea pigs. It is absurd."
The tenth Ebola epidemic in DR Congo is set to be declared over on April 12, after it killed more than 2,200 people in the east of the country since its outbreak on August 1, 2018.
More than 320,000 people were given two different experimental vaccines to stop the spread.
Source: AFP
Si kweli !! Nguruwe naPanya ni viumbe ambao wana ukaribu na binadamu kwa asilimia kubwa .Dawa za kutibu binadamu huwa zinajaribiwa kwa binadamu, mnataka majaribio yafanyike wapi?
Basi fanyeni utafiti mpate chanjo yenu kuliko kusubiri wazunguSi kweli !! Nguruwe naPanya ni viumbe ambao wana ukaribu na binadamu kwa asilimia kubwa .
Huko kwenye maabara huwa wanaanzia kwa panya au jamii ya panya guinea pigs wanawapiga ugonjwa kisha wanapiga na dawa zao za majaribio wakionesha nafuu na kupona basi hiyo dawa ndo inahamia kwa binadamu na mara zote huwa inafanikiwa watu kupona ,sasa kwa huu ugonjwa kwanza hauathiri wanyama so wamekosa pa kufanyia majaribio yao ndo wakaona waamie afrika ,na wakati wana death row inmates wengi tu (wangwatumia hao wenye hukumu za vifo kama wapo desparate kiasi hicho).
Sent using Jamii Forums mobile app
You got a point !!Basi fanyeni utafiti mpate chanjo yenu kuliko kusubiri wazungu
Hawa wenzako walipigwa vaccination huko huko kwenu sasa ni Vilio,What’s your comment on this ??.. Kenya: Thousands infertile after govt-sponsored vaccination - OdingaHongera sana DRC, kiongozi wenu ndiye shujaa anawajali watu wake, huu sio muda wa ubabe, lazima tushrikiane, itangazeni hata mimi nije niwe wa kwanza kujaribisha.
"May be infertile..."Hawa wenzako walipigwa vaccination huko huko kwenu sasa ni Vilio,What’s your comment on this ??.. Kenya: Thousands infertile after govt-sponsored vaccination - Odinga
Hawa wenzako walipigwa vaccination huko huko kwenu sasa ni Vilio,What’s your comment on this ??.. Kenya: Thousands infertile after govt-sponsored vaccination - Odinga
Ninachojua mimi wazungu hawanaga cha bure so hata kama anakupa msaada lazima umpe kitu, so it’s not like they are doing us a favor they are benefiting from us as much they give us. So they are just returning the favor. Turudi kwenye hoja, kwa nini majaribio yafanyike Afrika wakati sisi sio waathirika wakubwa??.Hicho ni kitu umeokoteza tu huko wakati wapinzani walikua wanaibuka na kila aina ya matamko, kitu kama hicho halafu kisiwe reported kwa mainstream media tangu mwaka huo wa 2017, ongeza na zako akili.
Ukweli ni kwamba Miafrika tuliingia hii dunia kwa bahati mbaya, hatuna mchango wowote kwa lolote zaidi ya kutembeza kibakuli na kuwa mzigo kwa wengine. Mnapiga makelele kuhusu hii chanjo ya Corona utadhani kuna chanjo nyingine yoyote mliwahi kugundua kama Waafrika, ilhali ukweli chanjo zote na za kila aina huwa tunasubiri kuletewa na mzungu baada ya yeye kugundua na kufanya majaribio yote huko kwake.
Leo hii bila aibu utakuta baadhi ya mataifa ya Kiafrika yanapanga foleni yakisubiri misaada ya wazungu huku hao wazungu wakiendelea kuathirika kuliko Afrika, wanakufa kwa maelfu lakini bado wanajitutumua kututumia misaada, bure kabisa.
Ninachojua mimi wazungu hawanaga cha bure so hata kama anakupa msaada lazima umpe kitu, so it’s not like they are doing us a favor they are benefiting from us as much they give us. So they are just returning the favor. Turudi kwenye hoja, kwa nini majaribio yafanyike Afrika wakati sisi sio waathirika wakubwa??.