DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

Magufuli angekubali hawa Viwavi wa CCM wanaopinga sa hizi Wangeunga juhudi..
 
Naamini hata viongozi wa Congo-DRC wamepewa fedha,sidhani kama wananchi wanajua kinachoendea,wao anything from the government is right.Ni
wakuonea huruma tu.
Huoni itakuwa jambo jema kama hiyo chanjo ikifanyiwa majaribio huku Africa na ikafanikiwa?
 
Huoni itakuwa jambo jema kama hiyo chanjo ikifanyiwa majaribio huku Africa na ikafanikiwa?
Mkuu Proved,
critical thinking inaniambia kwamba ipo ajenda ya siri.Sisi huku hatuna tatizo,kwa nini wafanyie majaribio ya chanjo kwetu?Wafanyie kule ambako kuna matatizo.

Halafuu,hata kitaalam hujaribii chanjo mahali ambapo "disease pressure" ni ndogo,kwa sababu matokeo utakayopata yatakuwa sio dependable.Hiyo ndiyo science,theirs is fake science.

Finally,hii the so called COVID-19 haihitaji chanjo,kwa kuwa sio viral disease kama wao wanavyodai, it is a radiation disease,as a result of exposure to 5G Electromagnetic Radiation Fields.Symptoms ni za exposure to electromagnetic radiation kabisa,wasitufanye sisi wajinga bwana,na sisi tumesoma eti.
 
Kwa hiyo we should stay home for our
entire life ili tu kuikwepa Corona?
Haohao waliowatajia preventive measures za corona ndio haohao wanatafuta chanjo.
Darling si kila mtu yupo mahali ulipo, dunia pana hii so save your enegy.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Binadamu bwana! tafiti zote zinazohusu kinga na dawa za binadamu sisi waAfrika hatujachangia chochote kwenye ugunduzi tumekua watumiaji. Leo tumeambiwa tutoe mchango kwenye hili la Corona nako mmeanza siasa au nako mnataka msubiri kwa ajili ya kutumia tu.
Kwanini tunakua wagumu kwenye majaribio ya kisayansi na ni watumiaji wazuri wa matokea ya kisayansi?

Kabla wangesema tunaitaji watu kutoka Afrika kwa ajili ya kwenda anga za mbali nako tungeanza kulia hooo wanataka kupoteza watu wetu na story kibao..
 
Lakini kwa nini wengi hatujajikita kwenye the positive side of haya majaribio ya hii chanjo? Kwa sababu vyovyote iwavyo chanjo ya binadamu lazima ifanyiwe human trials either ulaya, afrika au popote pale. Kuna chanjo za magonjwa mengi sana kama smallpox, measles, polio etc, vaccine trials zilifanyika kwingine ila na sisi tukafaidi matunda.

Wakati mwingine for the sake of science tupunguze hii inferiority complex na social stigma. Kama wanataka kutuua waafrika tungeishaisha by now. I personally congratulate the Congolese government for bravery, atleast someone has the balls to try something for the sake of humanity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi miaka kama mitatu iliyopita iliripuka ebola sijui ni Guinea au Sieraleone,basi kama kawaida wazungu na ma -organization yao sijui madaktari wasio na mipaka wakatia tia timu na madawa yao ya majaribio wanajifanya wanawatibia wagonjwa.
Sasa katika shughuli hiyo madaktari wao wawili wakashikwa na ebola,cha kusitaajabu wakawasafirisha mara moja kwenda kwao USA/Ulaya.
jiulize kwanini hawakuwatibu na hizo dawa walizokuwa wanawapa wagonjwa wa kiafrika huko Guinea?

Akili kichwani.
 
Mkuu Proved,
critical thinking inaniambia kwamba ipo ajenda ya siri.Sisi huku hatuna tatizo,kwa nini wafanyie majaribio ya chanjo kwetu?Wafanyie kule ambako kuna matatizo.

Halafuu,hata kitaalam hujaribii chanjo mahali ambapo "disease pressure" ni ndogo,kwa sababu matokeo utakayopata yatakuwa sio dependable.Hiyo ndiyo science,theirs is fake science.

Finally,hii the so called COVID-19 haihitaji chanjo,kwa kuwa sio viral disease kama wao wanavyodai, it is a radiation disease,as a result of exposure to 5G Electromagnetic Radiation Fields.Symptoms ni za exposure to electromagnetic radiation kabisa,wasitufanye sisi wajinga bwana,na sisi tumesoma eti.
What?? COVID-19 ni radiation disease?? Are you serious?? Is your conclusion based on science or assumptions? From what research? Do you have some clinical evidence au ni hizo story za conspiracy? Can a radiation disease be CONTAGIOUS or TRANSMITTED....... Aaaah nimechoka!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1993f19140e43e95115b937739140bb6

CONGO YAKUBALI KUFANYIWA MAJARIBIO YA CHANJO YA #COVID19

Mkuu wa mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko nchini Congo, Jean-Jacques Muyembe amesema wamechaguliwa na wako tayari kushiki majaribio ya chanjo ya #CoronaVirus

Ameshauri kuwa majaribia hayo yanaweza kufanyika Mwezi Julai au Agosti. Amesema “Inawezekana #Covid19 ikashindikana, lakini chanjo inaweza kuishinda kama ilivyokuwa kwenye ugonjwa wa Ebola, ni chanjo zilitusaidia”

Swala hili linatokea baada ya video ya wanasayansi wawili wa ufaransa kuvuja wakishauriana kuwatumia waafrika kama majaribio ya chanjo

Mchezaji wa mpira wa miguu, Didier Drogba alipinga vikali swala hili aliloliona la kibaguzi na amesema afrika sio maabara wala Afrika sio sehemu ya majaribio

=====

The European and the USA have been trying to come up with the cure for corona virus but it has been to no avail.

Earlier this week it was been reported that these countries have selected some countries in Africa which they would test their new vaccine created, which most African countries have rejected so far.

Today Saturday 04/04/2020 an Official of the Democratic Republic Of Congo has expressed the country’s readiness to participate in corona virus vaccine testing, becoming the first African country to do so.

They believe that they are making their own contributions to end this pendemic by accepting the vaccines to be tested on those who have tested positive to corona virus.

974ac257ed368d5c085a0a80f2e6cae1

Many public figures has frown to this act in recent days such as

Didier Drogba who wrote on his Twitter handle: “It is totally inconceivable we keep on cautioning this,”“Africa isn’t a testing lab. I would like to vividly denounce those demeaning, false and most of all deeply racist words.”

Former Cameroon’s international Samuel Eto’o also joined the protest via instagram, he wrote, “Africa is not your playing ground,”

So you think this is a welcome development ?
 
I beg your pardon....

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Do you know that COVID-19 is not a viral disease,but a 5G syndrome?Wait a minute.It seems that is too high for you,but is a fact.
 
What?? COVID-19 ni radiation disease?? Are you serious?? Is your conclusion based on science or assumptions? From what research? Do you have some clinical evidence au ni hizo story za conspiracy? Can a radiation disease be CONTAGIOUS or TRANSMITTED....... Aaaah nimechoka!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Analeta story za kina Gwajima
 
Do you know that COVID-19 is not a viral disease,but a 5G syndrome?Wait a minute.It seems that is too high for you,but is a fact.
Lol, my fellow Africans eish!
Okay may be is too much for me... so keep your fact on your own,
Just know your fellow human beings dying cause of Covid-19.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Back
Top Bottom