Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Naamini hata viongozi wa Congo-DRC wamepewa fedha,sidhani kama wananchi wanajua kinachoendea,wao anything from the government is right.NiMaadamu watapewa pesa lazima wakubali tu.
Japo hiyo chanjo kufanyiwa majaribio huku Africa naona ni vizuri maana ikifanikiwa tutakuwa na uhakika wa kuendelea na maisha ya kawaida bila hofu kwani huu ugonjwa ukisambaa sana huku Africa hatutaweza kuudhibiti.
Ukisema nchi za Africa zifungie raia wao majumbani basi njaa itawaua isitoshe hawa wanausalama watatumia hicho kigezo kutesa wananchi hivyo ni bora chanjo ije ianzie huku.
wakuonea huruma tu.