DRC to build an Electrified SGR from to connect Dar-Kigali SGR

Hiyo reli tungeijenga tukawapa kama mkopo kupitia PPP,
Nilimskia Waziri wa ujenzi anasema watashirikiana kujenga Barabara kuunga na miji na Bandari ili kurahisisha usafirishaji.

Hapo bila shaka ni PPP
 
East DRC Goma, Bukavu na Lubumbashi wanaongea Kiswahili Ila Kiswahili Chao kinachanganyika na kifaransa.
Kenya imeshika Butembo,Beni mambasa na kisangani ,goma na Bukavu si ni mpakani tu sio interior ya Congo nyie mnashika mpakani sie tunacontrol interior Nenda pale kasindi / mpondwe mpakani uone magari ya Kenya yanavyomuaga mixigo huko Congo.
 
Hahahahaha, sisi tunazungumzia kuziunganisha hizi nchi mbili kwa barabara, reli na lake Tanganyika ili kurahisisha na kupunguza gharama za kufanya biashara, ili wananchi wa kawaida waweze kufanya biashara kwa urahisi kama ilivyo Uganda na Kenya, Rwanda na Uganda, Uganda na South Sudan, Tanzania, Zambia na Malawi.
 
Kukaa siku 30 sio suala. Wacongo wawahishe documents zao ili mizigo itolewe mapema. Wanaleta document kwa maajent wa Tanzania zikiwa zimeshapita hizo siku 30. Hasa makontena. Sielewi sababu.
Nadhani, benki zao zinachelewesha kurelease hela kwa wauzaji.

Ni kweli, inawezekana benki zao zinachelewesha

Ndio maana JPM kahimiza benki za TZ kuchangamkia fursa kuwekeza huko
 
Hahahahaha, sisi tunazungumzia kuziunganisha hizi nchi mbili kwa barabara, reli na lake Tanganyika ili kurahisisha na kupunguza gharama za kufanya biashara, ili wananchi wa kawaida waweze kufanya biashara kwa urahisi kama ilivyo Uganda na Kenya, Rwanda na Uganda, Uganda na South Sudan, Tanzania, Zambia na Malawi.
Hata mkijenga reli na barabara kupitia mpaka wenu haimanishi mtakua mmerahisisha barabara kumbuka Congo ni nchi pana mno, mtaiunganisha Tu kusini and what about north eastern ? Kwa population Yao na upana wa nchi Tanzania haiwezi ikaitosheleza kama mmeshindwa kuitosheleza ndani ya sadc hata Kwa EAC hamtaitosheleza.
 
We border 554km North South.
 
Tumia akili japo kidogo jombaa, mbona unajiaibisha?. Tanzania ni nchi kubwa, sasa unataka watanzania wanaoishi western Tanzania waje Kenya au Uganda kufanya biashara?. Mikoa ya kusini wanafanya biashara na Malawi, Zambia na Msumbiji, Mikoa ya Kaskazini wanafanya biashara na Kenya, Uganda na Rwanda, Mikoa ya magharibi ni Burundi na DRC, mbona ni kitu kidogo sana kueleweka. Msitupotezee network, ngoja tukajenge Barabara za Eastern DRC ili tupanue soko letu.
 
We border 554km North South.
Hamna mpaka wa moja Kwa moja na Congo,mtaitegea Burundi au Rwanda kuaunganisha,pili mpaka wenu ni south north ni Uganda ,na Sisi tumeaunganishwa na DRC kupitia Uganda, Uganda wamejenga barabara Safi mno kupitia mpaka wao wa nyahuka / na kasindi / mpondwe Kwa hivyo tumeaunganishwa through Uganda.
 
Ni kipi nimejiaibisha? Au lazima uropoke Tu ilivyo ada kwenu?. Ndio nimekwambia Congo inahitaji zaidi ya Tanzania Kwanza Kwanza hizo barabara zitapita wapi ? Maana pale kuna ziwa labda mdevelop water transport na Congo ama mtumie Burundi au Rwanda kuaunganisha.
 
Hamna mpaka wa moja Kwa moja na Congo,mtaitegea Burundi au Rwanda kuaunganisha,pili mpaka wenu ni south north ni Uganda ,na Sisi tumeaunganishwa na DRC kupitia Uganda, Uganda wamejenga barabara Safi mno kupitia mpaka wao wa nyahuka / na kasindi / mpondwe Kwa hivyo tumeaunganishwa through Uganda.
Through lake Tanganyika tumeunganishwa na DRC kama ilivyo Bandari ya Mwanza na ile ya Port bell Uganda, tena distance kati ya Tanzania ni DRC ni ndogo ukilinganisha na Mwanza na Uganda.
 
Hahahahaha, sisi tunazungumzia kuziunganisha hizi nchi mbili kwa barabara, reli na lake Tanganyika ili kurahisisha na kupunguza gharama za kufanya biashara, ili wananchi wa kawaida waweze kufanya biashara kwa urahisi kama ilivyo Uganda na Kenya, Rwanda na Uganda, Uganda na South Sudan, Tanzania, Zambia na Malawi.
Dar Morogoro imewashinda sembuse Congo jameni? Alafu distance from Dar to Kibaha ni ngapi?
 
Tumia akili japo kidogo jombaa, mbona unajiaibisha?. Tanzania ni nchi kubwa, sasa unataka watanzania wanaoishi western Tanzania waje Kenya au Uganda kufanya biashara?. Mikoa ya kusini wanafanya biashara na Malawi, Zambia na Msumbiji, Mikoa ya Kaskazini wanafanya biashara na Kenya, Uganda na Rwanda, Mikoa ya magharibi ni Burundi na DRC, mbona ni kitu kidogo sana kueleweka. Msitupotezee network, ngoja tukajenge Barabara za Eastern DRC ili tupanue soko letu.
Na Kama mnafanya biashara na hizi Nchi zote, mbona bado mko kundi la LDC 2019??? Tz ina kasoro fulani bado najaribu kuelewa kieleweke.
Mnachangamkia DRC baada ya kuona Kenya imechangamka yani nyinyi no reactive si proactive kwa biashara yani mpaka muige wenzenu babkubwa.
 
nyie kuku wimbo mmebakiza ni ldc pekee.

yafaa tuwawekee chorus kabla WB hawajaja kuwakata kiherehere,muwe mumekatika vya kutosha.
 
Through lake Tanganyika tumeunganishwa na DRC kama ilivyo Bandari ya Mwanza na ile ya Port bell Uganda, tena distance kati ya Tanzania ni DRC ni ndogo ukilinganisha na Mwanza na Uganda.
For Tanzania to increase it's trade with DRC you must develop ports with adequate facilities on both side of the lake.
Ports with poor and inadequate facilities delay the process of loading and unloading
futher more water transport will slow down the process

Lake Tanganyika is found in a region of low economic value on both sides.Thus cannot be compared to lake Victoria as you say.
It's therefore difficult to carry out a joint construction of inland ports .Since both countries have more urgent priorities.
 
Back
Top Bottom