Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya imeshika Butembo,Beni mambasa na kisangani ,goma na Bukavu si ni mpakani tu sio interior ya Congo nyie mnashika mpakani sie tunacontrol interior Nenda pale kasindi / mpondwe mpakani uone magari ya Kenya yanavyomuaga mixigo huko Congo.East DRC Goma, Bukavu na Lubumbashi wanaongea Kiswahili Ila Kiswahili Chao kinachanganyika na kifaransa.
Hahahahaha, sisi tunazungumzia kuziunganisha hizi nchi mbili kwa barabara, reli na lake Tanganyika ili kurahisisha na kupunguza gharama za kufanya biashara, ili wananchi wa kawaida waweze kufanya biashara kwa urahisi kama ilivyo Uganda na Kenya, Rwanda na Uganda, Uganda na South Sudan, Tanzania, Zambia na Malawi.Kenya imeshika Butembo,Beni mambasa na kisangani ,goma na Bukavu si ni mpakani tu sio interior ya Congo nyie mnashika mpakani sie tunacontrol interior Nenda pale kasindi / mpondwe mpakani uone magari ya Kenya yanavyomuaga mixigo huko Congo.
Kukaa siku 30 sio suala. Wacongo wawahishe documents zao ili mizigo itolewe mapema. Wanaleta document kwa maajent wa Tanzania zikiwa zimeshapita hizo siku 30. Hasa makontena. Sielewi sababu.
Nadhani, benki zao zinachelewesha kurelease hela kwa wauzaji.
Hiyo reli tungeijenga tukawapa kama mkopo kupitia PPP,
Hata mkijenga reli na barabara kupitia mpaka wenu haimanishi mtakua mmerahisisha barabara kumbuka Congo ni nchi pana mno, mtaiunganisha Tu kusini and what about north eastern ? Kwa population Yao na upana wa nchi Tanzania haiwezi ikaitosheleza kama mmeshindwa kuitosheleza ndani ya sadc hata Kwa EAC hamtaitosheleza.Hahahahaha, sisi tunazungumzia kuziunganisha hizi nchi mbili kwa barabara, reli na lake Tanganyika ili kurahisisha na kupunguza gharama za kufanya biashara, ili wananchi wa kawaida waweze kufanya biashara kwa urahisi kama ilivyo Uganda na Kenya, Rwanda na Uganda, Uganda na South Sudan, Tanzania, Zambia na Malawi.
We border 554km North South.Hata mkijenga reli na barabara kupitia mpaka wenu haimanishi mtakua mmerahisisha barabara kumbuka Congo ni nchi pana mno, mtaiunganisha Tu kusini and what about north eastern ? Kwa population Yao na upana wa nchi Tanzania haiwezi ikaitosheleza kama mmeshindwa kuitosheleza ndani ya sadc hata Kwa EAC hamtaitosheleza.
Tumia akili japo kidogo jombaa, mbona unajiaibisha?. Tanzania ni nchi kubwa, sasa unataka watanzania wanaoishi western Tanzania waje Kenya au Uganda kufanya biashara?. Mikoa ya kusini wanafanya biashara na Malawi, Zambia na Msumbiji, Mikoa ya Kaskazini wanafanya biashara na Kenya, Uganda na Rwanda, Mikoa ya magharibi ni Burundi na DRC, mbona ni kitu kidogo sana kueleweka. Msitupotezee network, ngoja tukajenge Barabara za Eastern DRC ili tupanue soko letu.Hata mkijenga reli na barabara kupitia mpaka wenu haimanishi mtakua mmerahisisha barabara kumbuka Congo ni nchi pana mno, mtaiunganisha Tu kusini and what about north eastern ? Kwa population Yao na upana wa nchi Tanzania haiwezi ikaitosheleza kama mmeshindwa kuitosheleza ndani ya sadc hata Kwa EAC hamtaitosheleza.
Hamna mpaka wa moja Kwa moja na Congo,mtaitegea Burundi au Rwanda kuaunganisha,pili mpaka wenu ni south north ni Uganda ,na Sisi tumeaunganishwa na DRC kupitia Uganda, Uganda wamejenga barabara Safi mno kupitia mpaka wao wa nyahuka / na kasindi / mpondwe Kwa hivyo tumeaunganishwa through Uganda.We border 554km North South.
Ni kipi nimejiaibisha? Au lazima uropoke Tu ilivyo ada kwenu?. Ndio nimekwambia Congo inahitaji zaidi ya Tanzania Kwanza Kwanza hizo barabara zitapita wapi ? Maana pale kuna ziwa labda mdevelop water transport na Congo ama mtumie Burundi au Rwanda kuaunganisha.Tumia akili japo kidogo jombaa, mbona unajiaibisha?. Tanzania ni nchi kubwa, sasa unataka watanzania wanaoishi western Tanzania waje Kenya au Uganda kufanya biashara?. Mikoa ya kusini wanafanya biashara na Malawi, Zambia na Msumbiji, Mikoa ya Kaskazini wanafanya biashara na Kenya, Uganda na Rwanda, Mikoa ya magharibi ni Burundi na DRC, mbona ni kitu kidogo sana kueleweka. Msitupotezee network, ngoja tukajenge Barabara za Eastern DRC ili tupanue soko letu.
Through lake Tanganyika tumeunganishwa na DRC kama ilivyo Bandari ya Mwanza na ile ya Port bell Uganda, tena distance kati ya Tanzania ni DRC ni ndogo ukilinganisha na Mwanza na Uganda.Hamna mpaka wa moja Kwa moja na Congo,mtaitegea Burundi au Rwanda kuaunganisha,pili mpaka wenu ni south north ni Uganda ,na Sisi tumeaunganishwa na DRC kupitia Uganda, Uganda wamejenga barabara Safi mno kupitia mpaka wao wa nyahuka / na kasindi / mpondwe Kwa hivyo tumeaunganishwa through Uganda.
Dar Morogoro imewashinda sembuse Congo jameni? Alafu distance from Dar to Kibaha ni ngapi?Hahahahaha, sisi tunazungumzia kuziunganisha hizi nchi mbili kwa barabara, reli na lake Tanganyika ili kurahisisha na kupunguza gharama za kufanya biashara, ili wananchi wa kawaida waweze kufanya biashara kwa urahisi kama ilivyo Uganda na Kenya, Rwanda na Uganda, Uganda na South Sudan, Tanzania, Zambia na Malawi.
Na Kama mnafanya biashara na hizi Nchi zote, mbona bado mko kundi la LDC 2019??? Tz ina kasoro fulani bado najaribu kuelewa kieleweke.Tumia akili japo kidogo jombaa, mbona unajiaibisha?. Tanzania ni nchi kubwa, sasa unataka watanzania wanaoishi western Tanzania waje Kenya au Uganda kufanya biashara?. Mikoa ya kusini wanafanya biashara na Malawi, Zambia na Msumbiji, Mikoa ya Kaskazini wanafanya biashara na Kenya, Uganda na Rwanda, Mikoa ya magharibi ni Burundi na DRC, mbona ni kitu kidogo sana kueleweka. Msitupotezee network, ngoja tukajenge Barabara za Eastern DRC ili tupanue soko letu.
nyie kuku wimbo mmebakiza ni ldc pekee.Na Kama mnafanya biashara na hizi Nchi zote, mbona bado mko kundi la LDC 2019??? Tz ina kasoro fulani bado najaribu kuelewa kieleweke.
Mnachangamkia DRC baada ya kuona Kenya imechangamka yani nyinyi no reactive si proactive kwa biashara yani mpaka muige wenzenu babkubwa.
Hawa vilaza usimalize muda wako, hamna cha maana ni kumuaga povu tu.Dar Morogoro imewashinda sembuse Congo jameni? Alafu distance from Dar to Kibaha ni ngapi?
Sasa nyie viazi si wimbo wenu ni tuta ,tuta ,tuta.nyie kuku wimbo mmebakiza ni ldc pekee.
yafaa tuwawekee chorus kabla WB hawajaja kuwakata kiherehere,muwe mumekatika vya kutosha.
Sawa basi LDC 😂😂nyie kuku wimbo mmebakiza ni ldc pekee.
yafaa tuwawekee chorus kabla WB hawajaja kuwakata kiherehere,muwe mumekatika vya kutosha.
ila ajipange ugomvi na shoga yake kweli nimeamini sasa tumeanza kujaribu kuwa na permanent interest na sio permanent friend as long uchumi utasogea!Aisee JPM akikamatia kwenye madini ataipaisha sana hio nchi.
Hapo atakuwa kamaliza kila kitu
teh..teh...teh... we! kuwa na adabu!We are smartest is this region,wengine ni kama mbuzi wanapenda kutanguli na baskeli za barafu kabla jua halijawaka😁😁😁
For Tanzania to increase it's trade with DRC you must develop ports with adequate facilities on both side of the lake.Through lake Tanganyika tumeunganishwa na DRC kama ilivyo Bandari ya Mwanza na ile ya Port bell Uganda, tena distance kati ya Tanzania ni DRC ni ndogo ukilinganisha na Mwanza na Uganda.