Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

IMG_8871.jpg

IMG_2759.jpg

IMG_3200.jpg

140cbfe0-e488-4558-bdb9-a3b032ff1446.jpg

IMG_1826.jpg

IMG_3204.jpg
 
Ila mm dread nazipenda sana, and am looking forward kuweka yan nina mdg wangu anadread ni nzur sana
 
Ila they really depend na ukubwa wa nywele na level ya komwe, my dear ukiwa na komwe dont dare [emoji23]
6f39b2b23e10f85fbc7c738fcb6f54b6.jpg
 
Ila mm dread nazipenda sana, and am looking forward kuweka yan nina mdg wangu anadread ni nzur sana
Unakasura kazuri itakuwa...

ila kama ya baba usithubutu...
 
Me Ni man nimefuga ki panki changu chakufugia dreadlocks nazipenda Sana ila sijajua kama zita fit na sura yangu ila adi dread zije zikubali kwa maisha yakitanzania ni issue Sana maana kila uendapo utasikia vipi naizo nywele umekua msanii ? Nimesha twist hatua ya Kwanza Kuna wanaosema zimenizeesha wengine wanasame usizitoe nikizitoa nitaaribikia sana maana zimenikaa poa so Niko confused [emoji3] but nishaweka msimamo mpaka zianguke husawa wa sikio afu nione nitakueje ..
Screenshot_20220602-092925~2.jpg
 
Mimi Kuna siku mimi niliwaambia wadada wenzangu weee[emoji1787][emoji1787] nilipopolewa, ila honestly hii ndiyo hair style ambayo haiwapendezi wengi

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kiukweli unakua na Sura km I na kuzeeka. mi nazipenda Ila sithubutu naishia kuziona Kwa watu tu

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Ziko poa tatizo kuvutwa ndo maana wanaonekana km kuzeeka, sijawahi kuzisuka,, nilivyo na nywele ndefu na hazina dawa Kuna misuko naikwepa ili nisije kukata nywele zangu bure
 
Back
Top Bottom