Huwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.Styles mbalimbali za dreads, rastas tukutane hapa....
View attachment 324921 View attachment 324922 View attachment 324923 View attachment 324924
nimeongezea .. ila siku mje na namana ya kutunza hizi dreadlock sababu wengi zinatushinda aiseee
Kama hujui kitu uwe unauliza kaka, kwa taarifa yako dreads ni nywele zetu za asili na wala hatuna mpango wa kuweka nywele fekiHuwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.
Hongera maeHata nimeanza nina mwaka,kwa kweli nazipenda mpaka ila mwanzo mgumu na most of the nilikuwa rasta mpaka sasa zimekuwa nabana mwenyewe
Hangaikeeeeni muwezavyo ila Mwanamke TAKO tu.
Hongera mamy unanitamanisha zangu zitafika hivyo kweli?View attachment 325361
Zangu hizo hapo
Tafuta mafuta yanaitwa Radiant Anti dandruff Hair Cream.Napenda sana hiyo kitu nasumbuliwa na mba sana sana yani mpaka jana nimeamua kukata nywele nimekua gupala ngoto naombeni anaejua dawa ya mba ansaidie Cc Evelyn Salt, Heaven Sent, miss chagga
Osha nywele mara kwa mara, walau kwa wiki mara mbili, shampoo tumia anti dandruff,Napenda sana hiyo kitu nasumbuliwa na mba sana sana yani mpaka jana nimeamua kukata nywele nimekua gupala ngoto naombeni anaejua dawa ya mba ansaidie Cc Evelyn Salt, Heaven Sent, miss chagga
Kwani wewe umetoka wapi?Wajusi wote wana flat screen labda unazungumzia zile mimba zao za upande kama hips
Yaani mnaacha kuzungumzia Mikia ya ukweli ya Wanawake mnazungumzia nywele? Hata ukiwa na dreads za kuburuta chini lakini umebeba vifuu viwili tu huko nyuma...hamna kitu.
Vyovyote sawa tu......wayiiiii....Je ni kweli kuwa hawa wanaosuka huu mtindo ni watu wa CULTURE [ wavuta jani] ?
Hongera, ile mwanzoni unaweza ahirisha kwakweli
Hahaha....its so easy for I as long as u hv that juisy,nawapata sana easly sis.Tako tunalo......na dreadlocks tunazo vilevile.......kutupata huwezi.......huna hiyo jeuri.....
Huwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.
Tizii,Kwani wewe umetoka wapi?
Asante my dearDuh pole asee mi sijui dawa ya mba
Wataalamu watakujulisha
Kweli huko kuna mapopoma wengi Sana maana haujui hata dread Kama ni nywele halisi.Tizii,
Huwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.
Haya! Kwani huwa mnaziosha mara ngpi kwa wiki?Mkuu.....kwani dreads ni nywele za kuazima.....?.....usiwe kama popcorn kwenye sufuria bana......tulia......
U never knew what was my point...nani kabisha habari ya uhalisi wa dreads?Kweli huko kuna mapopoma wengi Sana maana haujui hata dread Kama ni nywele halisi.
Ukiwa mgeni mjini uwe mpole. Hizi ni nywele asili. Sijawahi ona mtu ana dreadz anajikuna kichwa