Dreadlocks!

Dreadlocks!

Huwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.
Kama hujui kitu uwe unauliza kaka, kwa taarifa yako dreads ni nywele zetu za asili na wala hatuna mpango wa kuweka nywele feki
 
Napenda sana hiyo kitu nasumbuliwa na mba sana sana yani mpaka jana nimeamua kukata nywele nimekua gupala ngoto naombeni anaejua dawa ya mba ansaidie Cc Evelyn Salt, Heaven Sent, miss chagga
Osha nywele mara kwa mara, walau kwa wiki mara mbili, shampoo tumia anti dandruff,
Pia niliwahi kuona facebook kuwa ukiosha nywele mwishoni chukua apple cider vinegar iweke maji kisha suuzia kichwani itasaidia nywele kukua vizuri na kuondoa mba (sijaijaribu lakini)
 
Wajusi wote wana flat screen labda unazungumzia zile mimba zao za upande kama hips

Yaani mnaacha kuzungumzia Mikia ya ukweli ya Wanawake mnazungumzia nywele? Hata ukiwa na dreads za kuburuta chini lakini umebeba vifuu viwili tu huko nyuma...hamna kitu.
Kwani wewe umetoka wapi?
 
Tako tunalo......na dreadlocks tunazo vilevile.......kutupata huwezi.......huna hiyo jeuri.....
Hahaha....its so easy for I as long as u hv that juisy,nawapata sana easly sis.
 
Huwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.

Mkuu.....kwani dreads ni nywele za kuazima.....?.....usiwe kama popcorn kwenye sufuria bana......tulia......
 
Ukiwa mgeni mjini uwe mpole. Hizi ni nywele asili. Sijawahi ona mtu ana dreadz anajikuna kichwa

Back
Top Bottom