Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
We nae sijui wa wapi kwani dreads ni mawig, mfyuuu unajikuta mjuaji kumbe hujuiHuwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.
Haha himo nlikua namaanisha Njia panda ,kwa maana kwamba nimevutiwa na wadada wengi marasta kwenye huu uzi nikaona niweke kambi hapa ili niendelee kuwajuaHimo wako wengi? Kama baiskeli inafika nipeleke namie nikajionee mitindo mipya ya locks
Hahahahahahaha kiswahili hiki[emoji134]Haha himo nlikua namaanisha Njia panda ,kwa maana kwamba nimevutiwa na wadada wengi marasta kwenye huu uzi nikaona niweke kambi hapa ili niendelee kuwajua
Zina booking hizo. Nitafanya mnada.
Ila kiukweli huwa naona kama kuvaa nywele za mtu ni ushirikina sijui. Naskia kinyaa kweli. Mafundisho ya mzee Mtambuzi yananiponza
Teh teh..Hana hizo huyo..Ila mpendwa asilimia kubwa ya wanawake niliowaona wana dreads wanakuwa wagumu flani hivi na rough..Why?..Kumbe mwanao havai wig, nkajua lile wig lisilofata direction ulikua unamsema yeye
Tafadhali sana watume picha tuone
Na wewe uko timu hii pia ?Team dreads kumbe ndo ipo kubwa hivi,
Me bado nipo kwenye rough dreads tehNa wewe uko timu hii pia ?
Mhm! Ni kweli sijui kutofautisha! Nijuze mwl. Evelyn.We nae sijui wa wapi kwani dreads ni mawig, mfyuuu unajikuta mjuaji kumbe hujui
Ok , karibia huku maana hii timu ina mvuto wa aina yake.Me bado nipo kwenye rough dreads teh
Na wewe unazo?Ok , karibia huku maana hii timu ina mvuto wa aina yake.
Na mimi nilitaka kuuliza swali hilo! Halafu kwenye 6 x 6, mbuzi kagoma unazing'ang'ania ile mbaya.Na wewe unazo?
Mimi sina ila nimetokea kuzipenda sana.Na wewe unazo?
Dreads ni natural hair kabisa, tena nywele ambayo haina hata dawa, inasokotwa, kila wiki lazma kwenda saloon kuosha na kurepair.....Mhm! Ni kweli sijui kutofautisha! Nijuze mwl. Evelyn.
Nimependa hili jibu. Tako si analo la kwake? Ya kwetu yanahusu nini?Tako tunalo......na dreadlocks tunazo vilevile.......kutupata huwezi.......huna hiyo jeuri.....
Ha ha ha lol wamjua abas yap, huwa natengenezea kwake nikiwa dar pia kuna dada mmoja yupo karibu na bar flani nikikumbuka jina ntakuambia ipo pale barabarani tu Mwenge anatengeneza vzr ndio amerepair hizo zanguKwa Abasi?
Namjua abasi pia pale kinondoni studio na kawe kwa joseeHa ha ha lol wamjua abas yap, huwa natengenezea kwake nikiwa dar pia kuna dada mmoja yupo karibu na bar flani nikikumbuka jina ntakuambia ipo pale barabarani tu Mwenge anatengeneza vzr ndio amerepair hizo zangu