Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
alikuwepo na mwingine anaitwa Kassim anapatikana pale mwenge- lufungiraHa ha ha lol wamjua abas yap, huwa natengenezea kwake nikiwa dar pia kuna dada mmoja yupo karibu na bar flani nikikumbuka jina ntakuambia ipo pale barabarani tu Mwenge anatengeneza vzr ndio amerepair hizo zangu
Sio dreadlocks labda rasta za kichina dreads usipoenda saloon wiki mbili zinachakaa, zinaota huwezi kukaa lazma zioshwe na kutengenezwa kila baada ya wiki au wiki mbiliAhsante! Wewe ni mwalimu mzuri. Lakini wapo ambao hawako makini na utunzaji wa hizo nywele.
I'll be your secret admirer.... Until then.Go die in peace curious cat.
Mi nshapendwa. Muambie mdada wako aweke dreadz. Hizi paw alikuwa anatengeneza mwenyewe enzi ziko ndogo manake repair ni twice a week ukianza.
Nilirudi kazini kwangu nikawa sina namna ikabidi nitafute mtu mwingine, ila fundi wangu wa sasa anaumiza hatari ananitengezeza vzr ila nakomaMwanzoni unatakiwa udili na mtu mmoja tu mpaka zitakaposhika ndo utakuwa unaweza enda kwa mtu yoyote kurepair, mi mwanzo nilikuwa najirepair mwenyewe mpaka zilipofikisha mwaka mmoja
Hahaha ila wadada tuna kazi na nywele jamani. Nina huyo msusi wangu wa mabutu, jamani sio kwa anavyozinogesha ila zile siku 3 za mwanzoni hata kupepesa macho kunauma. Mtu akikugusa kichwani anaweza akashtukia kala kofi tu, anakaza mbele vizuri hadi kikomwe kinashine, kulala sasa HehehehNilirudi kazini kwangu nikawa sina namna ikabidi nitafute mtu mwingine, ila fundi wangu wa sasa anaumiza hatari ananitengezeza vzr ila nakoma
Teh bebs anavozipenda nadhani nikikata tutagombanaBebs wanasaidia sana.......kama hakuwa anazisifia na kunipa moyo......wallah nilikuwa natoa.......mwanzoni unafanana na duduwasha kabisa.......
Huyo simjui, kwenda kwenyewe ni mara moja au mbili baada ya kila mwakaalikuwepo na mwingine anaitwa Kassim anapatikana pale mwenge- lufungira
Nimekumbuka panaitwa calabash pembeni ya hiyo bar kuna dada anatengeneza vizuri sanaNamjua abasi pia pale kinondoni studio na kawe kwa josee
Ila kwasasa siko huko lakini mara nnapofika kabla sijaanza kuonana na raia huwa ni lazima nikafanye mambo sehemu moja kati ya hizo kisha ndo nianze kukutana na raia, basi safari hii nikija ntakwambia ili nikajaribu mikogo ya huyo dada unayemsema pia
Hata mi nimempata mmoja raia wa Nigeria jamani huyu dada[emoji134] [emoji134] amenitengeneza mara moja ila sijui kama ntarudia kwa takribani siku tatu zilikuwa zinauma hatariiii hata kitandani kulala sikuwezaNilirudi kazini kwangu nikawa sina namna ikabidi nitafute mtu mwingine, ila fundi wangu wa sasa anaumiza hatari ananitengezeza vzr ila nakoma
Nitakutafuta mamy niko darMwenge kuna jamaa anatengeneza vizuri kama upo dar, mi nlianzia hapo alinitengeneza vizuri kwakweli, tutawasiliana nkuelekeze
Karibu kwenye chama gelofriendTeam dreads kumbe ndo ipo kubwa hivi,
Sio kweli mpendwa, mbona ni masista duu kabisa watu flani amazing wenye Amani teleTeh teh..Hana hizo huyo..Ila mpendwa asilimia kubwa ya wanawake niliowaona wana dreads wanakuwa wagumu flani hivi na rough..Why?..
Mmmmmh sidhani kama hizi takwimu zako ziko sawaTeh teh..Hana hizo huyo..Ila mpendwa asilimia kubwa ya wanawake niliowaona wana dreads wanakuwa wagumu flani hivi na rough..Why?..
Unatengenezea wapi? ArachugaNilirudi kazini kwangu nikawa sina namna ikabidi nitafute mtu mwingine, ila fundi wangu wa sasa anaumiza hatari ananitengezeza vzr ila nakoma
Hahaha kwa kweli nimejikuta navutika haswa. Sasa hapo kwenye kuanza naona kila mtu anasema huwa inakatisha tamaa, ngoja nitafute mpenda dreads wa kunitia moyo kipindi hicho cha mpito tehKaribu kwenye chama gelofriend
Dodoma....Unatengenezea wapi? Arachuga
OwkeyyyDodoma....
Haaaa aaahh mafundisho gani hayo?Zina booking hizo. Nitafanya mnada.
Ila kiukweli huwa naona kama kuvaa nywele za mtu ni ushirikina sijui. Naskia kinyaa kweli. Mafundisho ya mzee Mtambuzi yananiponza
Wewe sema tu hilo bichwa lako kubwa halipendezei wigi wala kusuka.. Tangia lini mabonge nyanya yakapendeza kwenye wigi..Mie dreads ndo naziweza make kusuka siwezi, weaving wigs nazionaga tu kwa watu