Dreadlocks!

Mmmmh me sijui nazionaje nywele hizo kama chafu yaani hazinivutii hata...
 
Mmmmh me sijui nazionaje nywele hizo kama chafu yaani hazinivutii hata...

Kama mtu amefunga majongoo ya kichwa.

Sasa kama sisi jamii l.Islam mtu akiweka hayo marasta anawezaje kujiweka tahir?

Upo lkn bibie? How is your little angel?
 
nimeona tuutende haki uzao wa Bob Gong Marley

Paradiso, katika Video ya Album ya Legend kuna bwana mdogo son of Berhane Selassie (Bob) alikuwa kama vile anasoma kitabu cha "Legend" na alikuwa anaongoza kundi la watoto katika "One Love" na vile vile ana-appear katika "Waiting in Vain" na kibinti kama cha kifilipino flani..ni nani huyo? na dread zake si zitakuwa zinafagia barabara sasa..he had locks by then)
 

Haramu wapi ndugu,lete sura tuone kama haramu???kuna mtt wa mwanza hapa mjini ana swali kila siku msikitini magomeni na ana rasta na anaingia nazo msikitini,hiyo haramu yako inakuja au ipo kwenye sura gani???
 

Me naisi nipo ivyo automatically kaka,nywele zangu naziachaga nakuwa naziosha na shampoo tu,siziweki mafuta wala nini lakin uwezi amini ni nyeusi tiii,na nilikuwa sipendi nyama yoyote ile tangu utotoni,nimeanza kula nyama ukubwani na inategemea na nyama gani na imepikwa vipi,lakini saivi naona tena iyo imani ya kuwa napenda niache nywele zangu ziwe kubwa tu ivi inanijia tena,hapa nina nywele nyingi sana na zishaanza kujisokota zenyewe mpaka watu uwa wanashangaa sana wanaisi kuna ananisokota,lakini kiukweli ni zenyewe zinajisokota,na napenda sana kweli cause naisi nywele zangu ni nzuri na uwa zinakuwa haraka sana na uwa nikizikata roho inaniuma sana,sasa bado sijajua jinsi ya kuzitunza vizuri kabisa,maana kwa sasa uwa naziosha na shampoo ambazo ni artificial,sasa nilikuwa nakuomba kaka kama itawezekana uniambie nitumie nini kuziosha na kuzitunza ili ziwe nzuri kabisa,????na uwa siri nyama kabisa maana sipendi tu...
 

Lete sura ndugu inayonyesha kwamba ni haramu na uache ubishi wa kushabikia tu,
 

Kaka naomba nizijue izo njia za asili za kutunza dreadlocks zangu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…