Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh me sijui nazionaje nywele hizo kama chafu yaani hazinivutii hata...
Kama mtu amefunga majongoo ya kichwa.
Sasa kama sisi jamii l.Islam mtu akiweka hayo marasta anawezaje kujiweka tahir?
Upo lkn bibie? How is your little angel?
Change your Attitude.
nimeona tuutende haki uzao wa Bob Gong Marley
Huyu kijana ana tofauti gani na dada yake?Kwa jinsi alivyoweka hizo Dreadlocks?Unaweza kumtongoza ukafikiri ni mwanamke kumbe ni Mwanamme mwenzako. Kwa Mwanamke kuweka hizo dreadlocks ni mapambo kwa Mwanamme kidini ya Kiisilam haifai Mwanamme kujifananisha kama Mwanamke ni Haramu kwa dini ya kiislam sijuwi kwa imani yako wewe?
Asante kwa kushare experience ya kweli. Ni kweli kabisa. Sio style ya kusema unaipata leo, inachukua muda na uvumilivu. Ila ikishafikia hatua ni ndefu, you feeeeel aweeeesome na uona raha ya kuwa mvumilivu. Huwezi kupata dreads leo hata kwa kwenda saloon. Patience is needed na usafi. Wapo wanaoishia mwanzoni na kushindwa kuvumilia kusubiri zikue.
Dreadlocks is not a hairstyle, is a lifestyle!
Ninarudia tena kwa imani ya Dini ya kiislam Dreadlock kwa Wanaume ni Haramu kwa wanawake ni halali. Ninafikiri nimekujibu swali lako. Na ukimuona Muislam anayo Dreadlock huyu Sio Muislam atakuwa ametoka ndani ya imani ya Dini ya Kiislam ndio hivyo kazi kwako kusuka au kunyowa.
Inategemea. Drier kwa wengine inawasaidia kufanya damu kuzunguka kwenye scalp vyema na kusaidia ukuaji wa nywele. Pia hukausha jel au wax unayokuwa umetumia. Inategemea na locktician wako wakati wa kuretwist.
Ila kwa wengine tunatumia njia za asili kutunza locks.
Dreads zinaongeza mvutobinafsi nikimwona mwanamke mwenye dreadlock hata awe napua kama ngumi automatically natokea kumpenda tu