Dreadlocks!

[emoji17] [emoji17] hapo ndo pagumu na inachukua muda gani kukua mpaka kubana sipendi vifupi
Teh Inategemea na ukuaji wa nywele zako, mie nilianza vikiwa vifupi ila sahivi zina mwaka nasuka styles
Au waweza ziacha hadi zirefuke ndio utengeneze dreads
 
Uwiii mwezi ujao nanyoa naanza dread so inabidi ziishe kabisa?
Inabidi ziwe nywele ambazo hazina dawa kabisa unaweza hata kuwa unazipunguza punguza za chini zinaota unakata za juu zenye dawa
 
Kuna mama nilimuona siku mbili zilizopita, nilimtazama hadi akajua nimemtazama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…