Dreadlocks!

Dreadlocks!

[emoji17] [emoji17] hapo ndo pagumu na inachukua muda gani kukua mpaka kubana sipendi vifupi
Teh Inategemea na ukuaji wa nywele zako, mie nilianza vikiwa vifupi ila sahivi zina mwaka nasuka styles
Au waweza ziacha hadi zirefuke ndio utengeneze dreads
 
Uwiii mwezi ujao nanyoa naanza dread so inabidi ziishe kabisa?
Inabidi ziwe nywele ambazo hazina dawa kabisa unaweza hata kuwa unazipunguza punguza za chini zinaota unakata za juu zenye dawa
 
Kuna mama nilimuona siku mbili zilizopita, nilimtazama hadi akajua nimemtazama.
 
Unantamanisha mi nnavozipenda hadi naona nmechelewa kuzitengeneza
Hutachelewa, wakati ni sasa
1456331954845.jpg

Hapo nilikuwa nimezipunguza lakini
 
Back
Top Bottom