Kwa wewe leo bingwa ila siku kabla ya leo tulicheza gemu 7 ukashinda mbili au umesahau .Tumecheza game 5, umeshinda moja tena ya kwanza tu zilizobaki nimekuvunja kama ngoma
Unathubutuje kuja kuongea utumbo huu?View attachment 2725724
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Master of the thread for the reasonKwa wewe leo bingwa ila siku kabla ya leo tulicheza gemu 7 ukashinda mbili au umesahau .
Hapo GD 3 na goli 6 nimekupiga sana tu ,weka sita kavu itakuwa new au 7 hiyo hakuna aliyewahi.
Mwenzako adriz hamalizagi maneno, muulize jana nilimfanya ninHizo taarifa zako unazitolea kwenye Vyanzo gani wkt ulitakiwa kupost humu tujione hayo maajab sio unacheza na watu ambao sio wa huu Uzi araf unatamba kifupi
Anza na Wakipekee ukitoka hapo nenda Kwa
Fene ukimaliza mcheck adriz km mpk hapo utakuwa ujafungwa bhs muone Eng ibird hapo utaleta mrejesho mwenyew wkt Mi nakusubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbn kuna mtu nilimkula 7 [emoji23][emoji23] humuHapo umenifunga leo ila nimeweka hii rekodi mpya hiki ndicho kipindi kikubwa zaidi cha kapa(kwa sifuri) na hii ulikuwa unatamba sana kuwa sijawahi kufikisha goli 5 goal difference sasa leo kikowapi Fene ? Kama ngoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana nitakuja kukufunga tena matokeo Yako yote nitayapost humuNow natoa mafunzo kwa anaetaka kujua
Beuty soccer
Incredible attacking tricks
Possessive soccer
Counter attack tricks
Long range goals tricks
Sihitaji ada nachohitaji ni ukubali kuniita master tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
We ss nitasema nikifungwa na we naacha kucheza DLSMwenzako adriz hamalizagi maneno, muulize jana nilimfanya nin
Hadi sasa hajui afanyeje maana kashamaliza mbinu zake zote
Mafia Soccer Power ni kama vile Russia tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwani hatujui kwamba adriz alishakutonya humu daima uendelee kunikwepa ili kuepusha aibu yako humuWe ss nitasema nikifungwa na we naacha kucheza DLS
Naomba leo saa 4 usiku panapo majaaliwa mpige mechi na MrJobless kumaliza utata ukapate aibu .Kwani hatujui kwamba adriz alishakutonya humu daima uendelee kunikwepa ili kuepusha aibu yako humu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Acha maneno Bhn we Kwa Uchezaj wako uwez kunifungaKwani hatujui kwamba adriz alishakutonya humu daima uendelee kunikwepa ili kuepusha aibu yako humu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]mkuu bang kwel yan ww ndo unajiweka rank ya juuHizo taarifa zako unazitolea kwenye Vyanzo gani wkt ulitakiwa kupost humu tujione hayo maajab sio unacheza na watu ambao sio wa huu Uzi araf unatamba kifupi
Anza na Wakipekee ukitoka hapo nenda Kwa
Fene ukimaliza mcheck adriz km mpk hapo utakuwa ujafungwa bhs muone Eng ibird hapo utaleta mrejesho mwenyew wkt Mi nakusubiri
[emoji23][emoji23]lkn Bro we ulivyonionea si nilikupa Siku 3 [emoji23][emoji23] na baada ya hizo Siku 3 tulicheza Game 5 na hakuna hata Moja uliyoshinda na Kwa kifupi we Pekee yako ndy uliewaikunifunga Humu Kwa watu niliocheza nao.[emoji23][emoji23]mkuu bang kwel yan ww ndo unajiweka rank ya juu
Nakutaka ww[emoji23][emoji23]lkn Bro we ulivyonionea si nilikupa Siku 3 [emoji23][emoji23] na baada ya hizo Siku 3 tulicheza Game 5 na hakuna hata Moja uliyoshinda na Kwa kifupi we Pekee yako ndy uliewaikunifunga Humu Kwa watu niliocheza nao.
So km utaki niwe kwenye Rank za Juu nakuruhusu uombe mpambano tena
Wikend hiyoWadau mmepoa sana
Ukiwa tayari utaniambia nikufungeKwa sababu nimeuza tambo langu na kubaki na hili la mchongo ,mapumziko rasmi DLS mpk pale nitakapo jaaliwa kununua jipya .
Ila mapumziko mazuri kwani nimehitimisha kwa kumkanda Mr Kiande Fene kwa siku mbili mfulilizo bila kuibuka bingwa , Master nakula short break kabla ya kurudi kuendelea nilipoishia.
Chagua muda gan tukutane Leo nitatoa showNakutaka ww