Dream League Soccer Special Thread

Ni lazima ni download mafaili yote kwa maana ya kwamba APK na OBB(zip file)
na je nitacheza online au offline?
 
Niliwahi kuicheza hii nikashinda kila kitu,mpaka ikafika hatua ya kucheza na kikosi changu mwenyeww, niliwahi kuipata game yao ya FTS aisee ile ilikuwa ni ya moooto kinyaama, ukiweka hard level,kazi unayo unaumiza kichwa ngumu kushinda 15 juko kama DLS ila sijaipata teena mpaka leo hii.
 
DLS ya zamani hata mimi nilikuwa najipigia mpk nikawa natamani nicheze na waanzilishi kwa kujiona sina na hatotokea mpinzani wa kunizidi lkn ya sasa hizi iko moto ni ngumu kutoboa najiona bonge la ndezi jinsi ninavyofungwa mpk natamani nilifute.

Vilevile kuna online challenge nyingi sana mimi nakubali haswa zile events unacheza online na mtu kuna mpk final na events nyingine mnawekewa timu zenye uwezo unaolingana then unachagua moja inasearh kufind mwengine aliyechagua kupimana ubavu ukipigwa mara tatu ushatoka kwenye challenge na mazawadi yapo kibao kutokana na jinsi unavyo kiwasha.
 
FTs kali kinoma kama wangeliendeleza ingekuwa poa lkn wachezaji hawana uhalisia sura nyingi zinafanana , vibonge , hakuna updates mara Lukaku unamkuta kavaa hereni , Messi kanyoa para ..
 
Nitajaribu kucheza tena.
 
Hili game kufunga ni ngumu sana au mimi ni ndo mbovu, naishia kutoa sare tu...🤣🤣🤣
Sijui hii Yanga yangu itatoboa lini kupanda daraja...
 
Hili game kufunga ni ngumu sana au mimi ni ndo mbovu, naishia kutoa sare tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui hii Yanga yangu itatoboa lini kupanda daraja...
Game ka watoto watu tuna funga adi 10-0 ...download pes2022 uone moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…