Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Jaribu kwanza hilo likikataa ni mpaka utafute game za kizamani sanaNatumia TECNO WX3
Je kwa mfano ikigoma na hii nicheze game lipi ambalo angalau linaweza kukaribiana na DREAM LEAGUE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kwanza hilo likikataa ni mpaka utafute game za kizamani sanaNatumia TECNO WX3
Je kwa mfano ikigoma na hii nicheze game lipi ambalo angalau linaweza kukaribiana na DREAM LEAGUE?
Gemu la kupanga viboksisokobani ndo nini?
Ni lazima ni download mafaili yote kwa maana ya kwamba APK na OBB(zip file)Pengine simu yako haipo supported, kwangu inatokea.
Dream league 2018 apk
![]()
DLS 2018_5.064 - RisTechy.com
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com
Dream league 2018 obb
![]()
Obb DLS 2018 V5.064 Android - RisTechy.com
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com
Lazima yote, na hilo nahisi ni offline la zamani sana.Ni lazima ni download mafaili yote kwa maana ya kwamba APK na OBB(zip file)
na je nitacheza online au offline?
Ngoja nijaribuLazima yote, na hilo nahisi ni offline la zamani sana.
Nimefanikiwa ku install DREAM LEAGUE 18 kwenye ki-TECNO WX3 changu.Lazima yote, na hilo nahisi ni offline la zamani sana.
Unacheza la mwaka gani wewe?Gemu la kupanga viboksi
Kwa sasa nachezea dream 2022 tu , viboksi nilikuwa nachezea kwenye kiswaswadu kitambo hiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23]Gemu la kupanga viboksi
DLS ya zamani hata mimi nilikuwa najipigia mpk nikawa natamani nicheze na waanzilishi kwa kujiona sina na hatotokea mpinzani wa kunizidi lkn ya sasa hizi iko moto ni ngumu kutoboa najiona bonge la ndezi jinsi ninavyofungwa mpk natamani nilifute.Niliwahi kuicheza hii nikashinda kila kitu,mpaka ikafika hatua ya kucheza na kikosi changu mwenyeww, niliwahi kuipata game yao ya FTS aisee ile ilikuwa ni ya moooto kinyaama, ukiweka hard level,kazi unayo unaumiza kichwa ngumu kushinda 15 juko kama DLS ila sijaipata teena mpaka leo hii.
FTs kali kinoma kama wangeliendeleza ingekuwa poa lkn wachezaji hawana uhalisia sura nyingi zinafanana , vibonge , hakuna updates mara Lukaku unamkuta kavaa hereni , Messi kanyoa para ..Niliwahi kuicheza hii nikashinda kila kitu,mpaka ikafika hatua ya kucheza na kikosi changu mwenyeww, niliwahi kuipata game yao ya FTS aisee ile ilikuwa ni ya moooto kinyaama, ukiweka hard level,kazi unayo unaumiza kichwa ngumu kushinda 15 juko kama DLS ila sijaipata teena mpaka leo hii.
Sijui walikwama wapi..FTs kali kinoma kama wangeliendeleza ingekuwa poa lkn wachezaji hawana uhalisia sura nyingi zinafanana , vibonge , hakuna updates mara Lukaku unamkuta kavaa hereni , Messi kanyoa para ..
Nitajaribu kucheza tena.DLS ya zamani hata mimi nilikuwa najipigia mpk nikawa natamani nicheze na waanzilishi kwa kujiona sina na hatotokea mpinzani wa kunizidi lkn ya sasa hizi iko moto ni ngumu kutoboa najiona bonge la ndezi jinsi ninavyofungwa mpk natamani nilifute.
Vilevile kuna online challenge nyingi sana mimi nakubali haswa zile events unacheza online na mtu kuna mpk final na events nyingine mnawekewa timu zenye uwezo unaolingana then unachagua moja inasearh kufind mwengine aliyechagua kupimana ubavu ukipigwa mara tatu ushatoka kwenye challenge na mazawadi yapo kibao kutokana na jinsi unavyo kiwasha.
Game ka watoto watu tuna funga adi 10-0 ...download pes2022 uone motoHili game kufunga ni ngumu sana au mimi ni ndo mbovu, naishia kutoa sare tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui hii Yanga yangu itatoboa lini kupanda daraja...
Kwa hiyo unanisimanga?Game ka watoto watu tuna funga adi 10-0 ...download pes2022 uone moto
Ndio na kuku inspire pia[emoji28][emoji28][emoji28]Kwa hiyo unanisimanga?