Dream League Soccer Special Thread

Acha na Kibonde Mi nimecheza na Kikos Cha Arsenal bila kuwa developed na nikafika Tier 3 (na nilifungwa Game ya Kwanza tier 10 km sio 9)
 
Nilimwambia ni Uwezo sio Kikos tena Mi nikikuta mtu ana kikos kdg uwaga nacheza Kwa kumuhurumia Kabisa
 
Tukubaliane mapema kwenye huu Uzi master ni Mi hapa. Nimefunga wote & kufungwa n mtu Moja tu ambae nae nimempa kipigo hatari . Km yupo ambae sijamfunga Aje tumalizane.
 
Ww na MrJobless wote ni watu wa cheating ndio maana mnaongeza uwezo ili iwabusti kwenye ushindi. Kama unajiamini kwa nn uhsngaike na boosting? Kuna weakness beyond your boosting
 
Nilimwambia ni Uwezo sio Kikos tena Mi nikikuta mtu ana kikos kdg uwaga nacheza Kwa kumuhurumia Kabisa
Sio kweli mchezaji ukimpandisha uwezo lazima awe na extra skills,stamina,acc ,reaction na speeding. Kama kungekuwa hakuna effect usingetumia nguvu nyingi kuwapa uwezo ambao sio wao. Mpira ukikutana na mesi lazima awe na uwezo kuliko Rashford, sasa nyie mnapindua meza eto Rash anaupiga mwng kuliko Mess. What a ridiculous!
 
Mkuu Acha lawama cheza soka [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…