YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
It's unhackableDls 2023 lliilohakiwa lenye coin zakutosha android wekeni hapa nipakue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's unhackableDls 2023 lliilohakiwa lenye coin zakutosha android wekeni hapa nipakue
Unaandika nn KibondeHilo game
Ya basi ndio ipo?
Hakuna hicho kituDls 2023 lliilohakiwa lenye coin zakutosha android wekeni hapa nipakue
Acha na Kibonde Mi nimecheza na Kikos Cha Arsenal bila kuwa developed na nikafika Tier 3 (na nilifungwa Game ya Kwanza tier 10 km sio 9)Na wewe haukakatazwa mkuu ,Ingekuwa unfair kama amehack lakini uzuri DLS 23 hakuna kuhack habari hizo ziliisha DLS19 ,mimi imechukua miaka 2 lakini wachezaji walikuwa na nyota ni 7 kama sikosei .
Kulalamika ni Unfair wakati wenzako wanatumia resource na time mpaka kufika levo hiyo.
Nilimwambia ni Uwezo sio Kikos tena Mi nikikuta mtu ana kikos kdg uwaga nacheza Kwa kumuhurumia KabisaKwa mtu anayejua game kama mm wachezaji sio kikwazo kabisa mimi kipindi kile nacheza na Fene yeye kikosi chake kiko full power mimi hakuna hata mmoja yuko full nilikuwa na mfunga mara nyingi na yeye ananifunga na hats nilipaopata kikosi stable kuliko cha mwanzo haikusaidia nikawa nafungwa mara nyingi tu nikija vibaya.
Singasinga nilimfunga nikiwa na kikosi dhaifu wakati wake wapo maximum ,MrJobless kanifunga sana akiwa na kikosi cha kawaida huku mimi wengi ni full mkoko.
Hoja ya kikosi dhaifu kama kikosi ni kikwazo pambana uwajaze players wako.
whyHakuna hicho kitu
Uwez kuhack
KwaniniUwez kuhack
Ww na MrJobless wote ni watu wa cheating ndio maana mnaongeza uwezo ili iwabusti kwenye ushindi. Kama unajiamini kwa nn uhsngaike na boosting? Kuna weakness beyond your boostingKwa mtu anayejua game kama mm wachezaji sio kikwazo kabisa mimi kipindi kile nacheza na Fene yeye kikosi chake kiko full power mimi hakuna hata mmoja yuko full nilikuwa na mfunga mara nyingi na yeye ananifunga na hats nilipaopata kikosi stable kuliko cha mwanzo haikusaidia nikawa nafungwa mara nyingi tu nikija vibaya.
Singasinga nilimfunga nikiwa na kikosi dhaifu wakati wake wapo maximum ,MrJobless kanifunga sana akiwa na kikosi cha kawaida huku mimi wengi ni full mkoko.
Hoja ya kikosi dhaifu kama kikosi ni kikwazo pambana uwajaze players wako.
Kwa cheatingTukubaliane mapema kwenye huu Uzi master ni Mi hapa. Nimefunga wote & kufungwa n mtu Moja tu ambae nae nimempa kipigo hatari . Km yupo ambae sijamfunga Aje tumalizane.
Sio kweli mchezaji ukimpandisha uwezo lazima awe na extra skills,stamina,acc ,reaction na speeding. Kama kungekuwa hakuna effect usingetumia nguvu nyingi kuwapa uwezo ambao sio wao. Mpira ukikutana na mesi lazima awe na uwezo kuliko Rashford, sasa nyie mnapindua meza eto Rash anaupiga mwng kuliko Mess. What a ridiculous!Nilimwambia ni Uwezo sio Kikos tena Mi nikikuta mtu ana kikos kdg uwaga nacheza Kwa kumuhurumia Kabisa
Mkuu Acha lawama cheza soka [emoji16]Sio kweli mchezaji ukimpandisha uwezo lazima awe na extra skills,stamina,acc ,reaction na speeding. Kama kungekuwa hakuna effect usingetumia nguvu nyingi kuwapa uwezo ambao sio wao. Mpira ukikutana na mesi lazima awe na uwezo kuliko Rashford, sasa nyie mnapindua meza eto Rash anaupiga mwng kuliko Mess. What a ridiculous!
Nitacheza tierMkuu Acha lawama cheza soka [emoji16]
Uko tier ngapiNitacheza tier
We dogo [emoji41]Uko tier ngapi
Kibonde ulipotelea wapi maana ulilia Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]We dogo [emoji41]
Kaka niliibiwa phone ila now nimelud online nna kam wiki hiviiKibonde ulipotelea wapi maana ulilia Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aina noma kaka nimelud nna hasira kwa wote viande nna dozii yao ina chemkaa yoyote atayeshoboka ni kumkandaa 2Poa kesho nicheki tupashe maana Fene alikufanya kitu mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]