Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mkuu mm nasema stak ma robot alafu umekuja daaaaah
Sasa Mimi na robot gani mkuu? Kikosi changu iko hapo nioneshe robot??? Kubali Tu umezidiwa kiwango halafu fanya usajili... Bado uko level ya Chini sana
Screenshot_20230904-130604.jpg
 
Mkuu kikosi chako utafananisha na changu kwel View attachment 2743233
Huwezi fananisha inaonekana we ndo Kwanza uko daraja la tatu huko pambana Kwanza ukuze career yako.... Cheza Sana upate coin za kusajili.... Lakini pia Kwa mtu anayejua kucheza hata Kwa Hilo kikosi anashinda....
Sajili ndo uombe code vinginevyo utaishia kulala mika
 
Back
Top Bottom