Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

...Hivi hili game la DLS Halikubali kucheza bila bando...?
...kuna game lingine la football niliwahi kucheza mwaka jana linaitwa "WE Soccer" kama sijakosea maana nimesahau jina lake lakini ni la konami, nalipataje pia...? Msaada...
 
Huwezi fananisha inaonekana we ndo Kwanza uko daraja la tatu huko pambana Kwanza ukuze career yako.... Cheza Sana upate coin za kusajili.... Lakini pia Kwa mtu anayejua kucheza hata Kwa Hilo kikosi anashinda....
Sajili ndo uombe code vinginevyo utaishia kulala mika
Mkuu nipo legend division mzee sema tu sichez mara kwa mara
 
Legend umefikaje!? Kwa hiko kikosi? Anyway najua inawezekana lakini coin ziko wapi na Diamond je? Maana kila unapovuka stage moja lazima upewe zawadi
 
...Hivi hili game la DLS Halikubali kucheza bila bando...?
...kuna game lingine la football niliwahi kucheza mwaka jana linaitwa "WE Soccer" kama sijakosea maana nimesahau jina lake lakini ni la konami, nalipataje pia...? Msaada...
Bila bando unacheza vizuri tu... Hayo magemu mengine hua nayaona kama useless tu
 
nimejaribu nikapewa option mbili... Play offline nikibofya naambiwa siwezi kupata access ya vitu vingine na linagoma kabisa kuplay narudishwa nyuma... Nikitap kwenye play online napelekwa tena kwenye webs huko sijui ndio wapi... sielewi Msaada...
 
Una official app au n zile za Ku cheat
 
Back
Top Bottom