We ukifungwa unalaumu wachezaji wameongezwa nguvu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Aina noma kaka nimelud nna hasira kwa wote viande nna dozii yao ina chemkaa yoyote atayeshoboka ni kumkandaa 2
Inshort humu wengii ni cheating wana hack coin wanajaza wachezajii halaf ukikutana nae wachezajii wote wamejaa unahisi utatoboa kwerii kuna wengine nawafunga kwerii lkn kwa ku force sana skills kama zote una maliza hapo ili ushinde 2 kwaiyo vijana wapunguze ku hack tujipime na uwezo wetu binafsii mimi mala ya kwanza nili hack baadae nikaja kuifuta account nikaanza moja because bora nitumie uwez wang binafsi kuliko ku hack niwe na coin nyingii nijaze wachezajii wengii humu ni hack [emoji736]️Poa kesho nicheki tupashe maana Fene alikufanya kitu mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Yes naongea ukwerii wache ku hack coins 🪙We ukifungwa unalaumu wachezaji wameongezwa nguvu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
Mwanzo lilikuwa ni Offline (Lilikuwa linatumia Files) ss hv ni Online (Halina tena files za data) so kuhack ni ngumuKwanini
Issue sio reason behind watu tupo Kwenye Ligi tofauti tofauti na tulishawakilisha Nchi kwny Hii DLS ss ukisema usiwadevelop uwezi kabsa kushinda kwenye Ligi za watu ambao wapo Full Package.Ww na MrJobless wote ni watu wa cheating ndio maana mnaongeza uwezo ili iwabusti kwenye ushindi. Kama unajiamini kwa nn uhsngaike na boosting? Kuna weakness beyond your boosting
Cheating gan ssKwa cheating
Mwanangu Acha maneno Mi ni trusted sn naweza kutafuta mtu Mwenye kikos Plan arafu Nije nikufunge uache maneno ili dude ni Uwezo tu. Wanaonijua watakuambia tena Ukija na hiyo mada ya wachezaj ambao sio developed ndy watakukataza usiwaze hivyo.Sio kweli mchezaji ukimpandisha uwezo lazima awe na extra skills,stamina,acc ,reaction na speeding. Kama kungekuwa hakuna effect usingetumia nguvu nyingi kuwapa uwezo ambao sio wao. Mpira ukikutana na mesi lazima awe na uwezo kuliko Rashford, sasa nyie mnapindua meza eto Rash anaupiga mwng kuliko Mess. What a ridiculous!
Upo tier ya ngap nikuletea Record ambazo uwez kuvunjaNitacheza tier
Ukuconnect na Email (km ulifanya hv kikos Chako kinarudi)Kaka niliibiwa phone ila now nimelud online nna kam wiki hivii
DLS hakuna cheating unadevelop players kihahali ukigundulika unafanya cheating unakula Ban account Yako.Ww na MrJobless wote ni watu wa cheating ndio maana mnaongeza uwezo ili iwabusti kwenye ushindi. Kama unajiamini kwa nn uhsngaike na boosting? Kuna weakness beyond your boosting
Nakuuliza swali simple kwa nini unasajili wachezaji usibaki na wale uliopewa mara ya kaanza wa academy division hiyo sio cheating ? unasajili Rashford ,Messi ,Neymar nk wakati mwenzako ana Nketiah ,Weghost ,Nchimbi nk hiyo ni fair ?Kwa cheating
Na hakuna limitations ambazo zimewekwa Kwa Timu baadhi so Jukumu ni Lao na kwny DLS Jukumu ni lako Players utaenjoy ukiwa na Kikos kipi?DLS hakuna cheating unadevelop players kihahali ukigundulika unafanya cheating unakula Ban account Yako.
Hoja ya kikosi ni ya watu vibonde mimi nimecheza sana na watu full package na kuwafunga kama hujui haujui tu .
Hoja yako ni sawa Kagara sugar kudai Simba ,Yanga na Azam wanawahujumu hawako fair kuwa kusajili wachezaji wa bei ghali na mafundi wa kigeni na kutaka wote wasajili wa ndani kitu ambacho hakiMake Sense.
Acha na Huyo Kibonde Kwa style yake Mi hata nitumie Rares Player anifungi anatafuta 7b tuNakuuliza swali simple kwa nini unasajili wachezaji usibaki na wale uliopewa mara ya kaanza wa academy division hiyo sio cheating ? unasajili Rashford ,Messi ,Neymar nk wakati mwenzako ana Nketiah ,Weghost ,Nchimbi nk hiyo ni fair ?
Nitakutag tucheze game kazaa, ila sitocheza ligi kwasasaNa hakuna limitations ambazo zimewekwa Kwa Timu baadhi so Jukumu ni Lao na kwny DLS Jukumu ni lako Players utaenjoy ukiwa na Kikos kipi?
Fene nitafute WhatsApp nimesahau Username yako kule nataka nikuweke kwny Ligi ili Ujue Game
Poah KibondeNitakutag tucheze game kazaa, ila sitocheza ligi kwasasa
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Unajua lkn maana kucheza mtu baadae aanzie kulalamikia Vikos hiyo ndy sitaki ss hvNani aje nimpige wakuu
Mambo ya vikos vya robot mi sitaki team yangu ndogo kama una team ndogo ya kawaida njoo tucheze mpila pol lite litembeeUnajua lkn maana kucheza mtu baadae aanzie kulalamikia Vikos hiyo ndy sitaki ss hv
Bhs ss subir wenzakoMambo ya vikos vya robot mi sitaki team yangu ndogo kama una team ndogo ya kawaida njoo tucheze mpila pol lite litembee
Njoo code n KDSMambo ya vikos vya robot mi sitaki team yangu ndogo kama una team ndogo ya kawaida njoo tucheze mpila pol lite litembee