Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Poa kesho nicheki tupashe maana Fene alikufanya kitu mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Inshort humu wengii ni cheating wana hack coin wanajaza wachezajii halaf ukikutana nae wachezajii wote wamejaa unahisi utatoboa kwerii kuna wengine nawafunga kwerii lkn kwa ku force sana skills kama zote una maliza hapo ili ushinde 2 kwaiyo vijana wapunguze ku hack tujipime na uwezo wetu binafsii mimi mala ya kwanza nili hack baadae nikaja kuifuta account nikaanza moja because bora nitumie uwez wang binafsi kuliko ku hack niwe na coin nyingii nijaze wachezajii wengii humu ni hack [emoji736]️
 
Ww na MrJobless wote ni watu wa cheating ndio maana mnaongeza uwezo ili iwabusti kwenye ushindi. Kama unajiamini kwa nn uhsngaike na boosting? Kuna weakness beyond your boosting
Issue sio reason behind watu tupo Kwenye Ligi tofauti tofauti na tulishawakilisha Nchi kwny Hii DLS ss ukisema usiwadevelop uwezi kabsa kushinda kwenye Ligi za watu ambao wapo Full Package.

Na hata mkisema hivyo bado Bila kudevelop ndy Kabsa hamtaweza kunifunga hata mara Moja.
 
Sio kweli mchezaji ukimpandisha uwezo lazima awe na extra skills,stamina,acc ,reaction na speeding. Kama kungekuwa hakuna effect usingetumia nguvu nyingi kuwapa uwezo ambao sio wao. Mpira ukikutana na mesi lazima awe na uwezo kuliko Rashford, sasa nyie mnapindua meza eto Rash anaupiga mwng kuliko Mess. What a ridiculous!
Mwanangu Acha maneno Mi ni trusted sn naweza kutafuta mtu Mwenye kikos Plan arafu Nije nikufunge uache maneno ili dude ni Uwezo tu. Wanaonijua watakuambia tena Ukija na hiyo mada ya wachezaj ambao sio developed ndy watakukataza usiwaze hivyo.
 
Ww na MrJobless wote ni watu wa cheating ndio maana mnaongeza uwezo ili iwabusti kwenye ushindi. Kama unajiamini kwa nn uhsngaike na boosting? Kuna weakness beyond your boosting
DLS hakuna cheating unadevelop players kihahali ukigundulika unafanya cheating unakula Ban account Yako.

Hoja ya kikosi ni ya watu vibonde mimi nimecheza sana na watu full package na kuwafunga kama hujui haujui tu .

Hoja yako ni sawa Kagara sugar kudai Simba ,Yanga na Azam wanawahujumu hawako fair kuwa kusajili wachezaji wa bei ghali na mafundi wa kigeni na kutaka wote wasajili wa ndani kitu ambacho hakiMake Sense.
 
Kwa cheating
Nakuuliza swali simple kwa nini unasajili wachezaji usibaki na wale uliopewa mara ya kaanza wa academy division hiyo sio cheating ? unasajili Rashford ,Messi ,Neymar nk wakati mwenzako ana Nketiah ,Weghost ,Nchimbi nk hiyo ni fair ?
 
Na hakuna limitations ambazo zimewekwa Kwa Timu baadhi so Jukumu ni Lao na kwny DLS Jukumu ni lako Players utaenjoy ukiwa na Kikos kipi?

Fene nitafute WhatsApp nimesahau Username yako kule nataka nikuweke kwny Ligi ili Ujue Game
 
Acha na Huyo Kibonde Kwa style yake Mi hata nitumie Rares Player anifungi anatafuta 7b tu
 
Na hakuna limitations ambazo zimewekwa Kwa Timu baadhi so Jukumu ni Lao na kwny DLS Jukumu ni lako Players utaenjoy ukiwa na Kikos kipi?

Fene nitafute WhatsApp nimesahau Username yako kule nataka nikuweke kwny Ligi ili Ujue Game
Nitakutag tucheze game kazaa, ila sitocheza ligi kwasasa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom