Dream League Soccer Special Thread

...Hivi hili game la DLS Halikubali kucheza bila bando...?
...kuna game lingine la football niliwahi kucheza mwaka jana linaitwa "WE Soccer" kama sijakosea maana nimesahau jina lake lakini ni la konami, nalipataje pia...? Msaada...
 
Mkuu nipo legend division mzee sema tu sichez mara kwa mara
 
Legend umefikaje!? Kwa hiko kikosi? Anyway najua inawezekana lakini coin ziko wapi na Diamond je? Maana kila unapovuka stage moja lazima upewe zawadi
 
...Hivi hili game la DLS Halikubali kucheza bila bando...?
...kuna game lingine la football niliwahi kucheza mwaka jana linaitwa "WE Soccer" kama sijakosea maana nimesahau jina lake lakini ni la konami, nalipataje pia...? Msaada...
Bila bando unacheza vizuri tu... Hayo magemu mengine hua nayaona kama useless tu
 
nimejaribu nikapewa option mbili... Play offline nikibofya naambiwa siwezi kupata access ya vitu vingine na linagoma kabisa kuplay narudishwa nyuma... Nikitap kwenye play online napelekwa tena kwenye webs huko sijui ndio wapi... sielewi Msaada...
 
Una official app au n zile za Ku cheat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…