Dream League Soccer Special Thread

Nasikia adriz alikula kichapo Hadi ukafuta app ya DLS [emoji23][emoji23][emoji1787]
Mara ya mwisho kabla ya Kuuza simu yangu yenye uwezo mzuri ,nilimkanda Fene siku mbili mfulilizo mpaka akaSurrender mwenyewe na haleti ubishi akibisha makaburi yapo humu.

Kuhusu unalodai ningependa ueleze kwa kina maana Master sina rekodi mbovu kama hiyo.
 
Hapo nimetype vibaya nilitaka niseme "alikupa kichapo" nikaandika "alikula kichapo"
 
Sahau kunifunga maana ss hivi nimeacha kucheza Game sioni Competition ya Kwel
Kwa hiyo unamaanisha mpaka kwa Johex na kwenye magroup yote ya wasap haoni competition ya kweli ? siwezi kuamini kuwa umefikia kiwango hicho labda kwa humu sawa.
 
Hivi Kuna mtu alishawahi kuvuka Tie 6??
Mimi kila nikijitahidi nashindwa,shida ni ukabaji wachezaji Wangu hawakabi ipasavyo ..but Tie 7 wachezaji Wangu wanakuwa active sana kuliko nikicheza Tie 6
Mtoto Kibonde sn hv hyo tier ya 6 ingekuwa ya 2022 ni saw Mi ndy niliishia hiyo Tier lkn hii DLS23 naingia tier 1 na yellow card kabsa
 
Hakika umeiva Kijana wng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…