Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Nasikia adriz alikula kichapo Hadi ukafuta app ya DLS [emoji23][emoji23][emoji1787]
Mara ya mwisho kabla ya Kuuza simu yangu yenye uwezo mzuri ,nilimkanda Fene siku mbili mfulilizo mpaka akaSurrender mwenyewe na haleti ubishi akibisha makaburi yapo humu.

Kuhusu unalodai ningependa ueleze kwa kina maana Master sina rekodi mbovu kama hiyo.
 
Mara ya mwisho kabla ya Kuuza simu yangu yenye uwezo mzuri ,nilimkanda Fene siku mbili mfulilizo mpaka akaSurrender mwenyewe na haleti ubishi akibisha makaburi yapo humu.

Kuhusu unalodai ningependa ueleze kwa kina maana Master sina rekodi mbovu kama hiyo.
Hapo nimetype vibaya nilitaka niseme "alikupa kichapo" nikaandika "alikula kichapo"
 
Sahau kunifunga maana ss hivi nimeacha kucheza Game sioni Competition ya Kwel
Kwa hiyo unamaanisha mpaka kwa Johex na kwenye magroup yote ya wasap haoni competition ya kweli ? siwezi kuamini kuwa umefikia kiwango hicho labda kwa humu sawa.
 
Hivi Kuna mtu alishawahi kuvuka Tie 6??
Mimi kila nikijitahidi nashindwa,shida ni ukabaji wachezaji Wangu hawakabi ipasavyo ..but Tie 7 wachezaji Wangu wanakuwa active sana kuliko nikicheza Tie 6
Mtoto Kibonde sn hv hyo tier ya 6 ingekuwa ya 2022 ni saw Mi ndy niliishia hiyo Tier lkn hii DLS23 naingia tier 1 na yellow card kabsa
 
Halafu pia kitu cha muhimu zaidi unapokaba achia "B" tumia direction pekeyake Hadi mchezaji wako akimkatibia mpinzani ndo Kaba na "B" Ila inabidi mikono iwe chapu...
Cha mwisho zingatia pass... Nauridia zingatia possession wewe Ndo uwe Una mpira muda mwingi lazima ushindwe Tu ....
Sema najua mwanzoni utapigwa .. na usipokua mvumilivu utaurudia tena "tuntura" [emoji23] halafu utapigwa tena
Hakika umeiva Kijana wng
 
Back
Top Bottom