Dream League Soccer Special Thread

Wakitoa mpya huwa wanaUpdate mara kwa mara baada ya kusikiliza maoni usikute wiki hii likawa updated kidogo huenda kero zako Mr Kiande Fene zikatatuliwa.
 
Wakitoa mpya huwa wanaUpdate mara kwa mara baada ya kusikiliza maoni usikute wiki hii likawa updated kidogo huenda kero zako Mr Kiande Fene zikatatuliwa.
Nimeshaanza kujifua ktk career maana jana usiku nili-update na kuingia online kichwakichwa nilifanywa vibaya nikatoka nduki

Now ktk career nimeshaanza kupiga tano tano,
Kiufupi naweza sema tabu bado ipo palepale
 
Mi siupdate ili niwakande vizuri [emoji16][emoji1787][emoji1787]
Mwaka huu lazima mniite baba
 
Ile R+ kwa juu ina kazi gani?

Na je unachange vp commentary?

Na mbona ukiingia uwanjani naona direct wachezaj wameshatimba dimbani ni kwangu tu au kwa wote
 
Ile R+ kwa juu ina kazi gani?

Na je unachange vp commentary?

Na mbona ukiingia uwanjani naona direct wachezaj wameshatimba dimbani ni kwangu tu au kwa wote
Ile R+ ile nahisi replay Sina uhakika lakini.
Commentary nenda setting ya DLS then Audio utaona hapo commentary.

Kuhusu hiyo ya wachezaji kuwakuta uwanjani binafsi kwangu haipo.
Labda Simu yako kwa upande wa storage au Kuna tatzo mahali.
 
Hio draft ipo humo humo kwenye DLS au tofauti ?

Kama kwenye Carrier games wamesema hivyo ni vizuri maana Mimi baada ya kufika stage zote niliacha kucheza carrier ni mwendo wa online tu coz wale napiga hata goli 10.
Ndiyo hiyo hapo kwenye picha.
Kwenye carrier wamejitahidi sana kidogo ushindani upo
 
Attachments

  • Screenshot_20231203-221540.jpg
    209.6 KB · Views: 9
Button mbona kubwa haiwezekani kuzipinguzq ikawa A,b ,C viduara vidogo ?
 
Kwenye version ya mwaka huu ktk mfumo wangu Messi ndo amekuwa tishio akicheza kama attacking midfielder akiwasaidiza vijana Mbappe na Haaland
Kila game yeye ndo man of the match anatia assists kama hana akili nzuri

Ngoja niendelee kuwapika na wengineo

adriz kama hukufurahi kipind kile ulivyokuwa ukiniotea ndo basi tena[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…