Dah!![emoji35][emoji35][emoji35]
Kamwe huwezi kuongoza kwa kunitwanga ukitaka hatukuweka rekodi ila inatokea nakukanda nyingi mfululizo na wewe unanifunga hivyo sometimes.Dah!![emoji35][emoji35][emoji35]
adriz nakuomba uwe muadilifu eti unaongoza kunitwanga au mimi kukutwanga
Hii comment ya huyu kiande wa mfano humu imenitia hasira sana
Nguvu ya kuongea upupu huu unaitolea wapi ndugu bwana kiande Wakipekee wakati hujawahi nifunga hata siku moja, droo na mim bado kwako ndoto licha ya michezo yote tuliyocheza
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tunapishana muda hapa Jf nimekuambia chagua siku ambayo uko free ,muda na saa tuje hapa tupeane code nitoe dozi mbona kitu simpo ! sasa wewe unazinguka huku kwa kuogopa ukiongea huku umejificha ...Tatizo mnabaki kupepeta mdomo tu code hamuweki....wewe unayetumia name ya penguin nimekuchapa sana tu....weka code hata muda huu
Kiande unapata wapi nguvu za kuja humu ?
Kama hauniogopi njoo
Hii ndio maana ya Mzee wa dozi leta screenshot yako ya goli 6-1 hapa kama unayo..Pamoja na kufungwa kwa jumla ya mechi 3 kwa 2 kuna Bango jipya mtu kakandwa kama mwehu 😂😂😂😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂 View attachment 2899088
Hii ndio maana ya Mzee wa dozi leta screenshot yako ya goli 6-1 hapa kama unayo..
Penguin ishapitwa na wakati nataka ya sasa tokea nianzie kujiita Mzee wa Dozi halafu iwe mwaka huu.
Sawa nimeshindwa mimi lakin leo nimekukandaPenguin ishapitwa na wakati nataka ya sasa tokea nianzie kujiita Mzee wa Dozi halafu iwe mwaka huu.
Natafuta kibonde yyt nasema yyt aje nimkande muda huu,nshapiga alkasusuSawa nimeshindwa mimi lakin leo nimekukanda
Njoo
Code?Njoo
Weka Code chapNjoo
[emoji125][emoji125][emoji125]Weka Code chap
Mtandao shida now njoo mida ya saa 5 tukiwashe[emoji125][emoji125][emoji125]
Eeeeht naogopa mech Yan Kibonde km we ndy nikuogope mbn ipo wazi zaman nilikuwa Mwanza na nilifunga wote Humu alinifunga alikuwa Eng ibird tu ss hv nipo Moro ndan ndan mtandao wa Shida ndy maana nimetulia hata WhatsApp hakuna Lig nayoshirikiKwa nini unaogopa mechi na Mimi ?
Nitafute siku ukiwa hauna kisingizio ili nikupige hadi mwenyewe kubaki miziki kuwa Mimi ndio Master wa humu.