Wenye gemu waboreshe kuweka option ya kuchat hata baada ya gemu kuisha au half time ili kuongeza mvuto hata mimi kuna watu huwa natamani nirudishe nao ila inashindikana.Kuna raia anajiita Kilimanjaro nae yupo hapa hapa Tz. Mzee salute. The only opponent mpaka sasa natamani kurudiana nae kama adriz anavyotamani rematch na mimi
Kwahiyo mechi inasogezwa hadi lini maana natak ukiona jina Fene hapa ikuingie hofuUsiku mara nyingi inazingua kuanzia Alfajiri mpk jioni huwa haikwami.
Rekodi yako na adriz ipo vip?Kuna raia anajiita Kilimanjaro nae yupo hapa hapa Tz. Mzee salute. The only opponent mpaka sasa natamani kurudiana nae kama adriz anavyotamani rematch na mimi
Hata kesho panapo majaaliwa kwa jinsi nilivyokuwa nataka kushikisha mtu adabu niko radhi hata sasa 7 ya usiku leo kiwake ili usilale na matumaini ya uwongo.Kwahiyo mechi inasogezwa hadi lini maana natak ukiona jina Fene hapa ikuingie hofu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Hata kesho panapo majaaliwa kwa jinsi nilivyokuwa nataka kushikisha mtu adabu niko radhi hata sasa 7 ya usiku leo kiwake ili usilale na matumaini ya uwongo.
Tuli play game 3 ya kwanza alinifunga kwa kubahatisha coz network iliyumba nikala 5 kwa 2 kama sikosei ya pili tukaanza siriaz na nikaweka mfumo wa kaunta akanipiga akanizidi moja ya tatu nikampiga kea staili ya ajabu hadi akakimbia hakutaka kuendelea kea kuona atakuja kuaibika bora apate muda wa kufikiri staili ninayotuimia maana anafungua kiufundi na kimaaajabu.
Sawa ila adriz tambo nyingi kinoma, dawa yako ipo jikoniTuli play game 3 ya kwanza alinifunga kwa kubahatisha coz network iliyumba nikala 5 kwa 2 kama sikosei ya pili tukaanza siriaz na nikaweka mfumo wa kaunta akanipiga akanizidi moja ya tatu nikampiga kea staili ya ajabu hadi akakimbia hakutaka kuendelea kea kuona atakuja kuaibika bora apate muda wa kufikiri staili ninayotuimia maana anafungua kiufundi na kimaaajabu.
Tuli play game 3 ya kwanza alinifunga kwa kubahatisha coz network iliyumba nikala 5 kwa 2 kama sikosei ya pili tukaanza siriaz na nikaweka mfumo wa kaunta akanipiga akanizidi moja ya tatu nikampiga kea staili ya ajabu hadi akakimbia hakutaka kuendelea kea kuona atakuja kuaibika bora apate muda wa kufikiri staili ninayotuimia maana anafungua kiufundi na kimaaajabu.
Leta codeMaster nipo hapa.
Wait mpk 35 nitakuwa tayar kuna kitu najifanya chapLeta code
Upo ?Leta code
Oya upo? Lete codeUpo ?
Upo ?