Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Kuna raia anajiita Kilimanjaro nae yupo hapa hapa Tz. Mzee salute. The only opponent mpaka sasa natamani kurudiana nae kama adriz anavyotamani rematch na mimi
 
Wenye gemu waboreshe kuweka option ya kuchat hata baada ya gemu kuisha au half time ili kuongeza mvuto hata mimi kuna watu huwa natamani nirudishe nao ila inashindikana.
 
Halafu kwenye setting hizo ni bora kuset vipi hapo kwenye Auto switch,Kick assist na cross assist naona kuna faida ukiset vizuri.
Screenshot_20220810_083306.jpg
 
Kwahiyo mechi inasogezwa hadi lini maana natak ukiona jina Fene hapa ikuingie hofu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kesho panapo majaaliwa kwa jinsi nilivyokuwa nataka kushikisha mtu adabu niko radhi hata sasa 7 ya usiku leo kiwake ili usilale na matumaini ya uwongo.
 
Rekodi yako na adriz ipo vip?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuli play game 3 ya kwanza alinifunga kwa kubahatisha coz network iliyumba nikala 5 kwa 2 kama sikosei ya pili tukaanza siriaz na nikaweka mfumo wa kaunta akanipiga akanizidi moja ya tatu nikampiga kea staili ya ajabu hadi akakimbia hakutaka kuendelea kea kuona atakuja kuaibika bora apate muda wa kufikiri staili ninayotuimia maana anafungua kiufundi na kimaaajabu.
 
Sawa ila adriz tambo nyingi kinoma, dawa yako ipo jikoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuli play game 3 ya kwanza alinifunga kwa kubahatisha coz network iliyumba nikala 5 kwa 2 kama sikosei ya pili tukaanza siriaz na nikaweka mfumo wa kaunta akanipiga akanizidi moja ya tatu nikampiga kea staili ya ajabu hadi akakimbia hakutaka kuendelea kea kuona atakuja kuaibika bora apate muda wa kufikiri staili ninayotuimia maana anafungua kiufundi na kimaaajabu.

Nakusubiri
 
Back
Top Bottom