Introver
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 509
- 574
Nipo online twende kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio 7 ni 9 kabisaJamaa kakimbia halafu hata hivyo mtu wenyewe kibonde wa kiwango cha Frustration alishawahi kuweka screenshot kala 7 online.
Duh ! 😂 😂Sio 7 ni 9 kabisa
Duh ! 😂 😂
Natabiri wewe ndio utakua mrithi wangu humu maana haukati tamaa na unajiamini japo unacheza kipigo ,ukikiimarisha kikosi chako utatisha sana .
Napambana mdogo mdogo
Hakuna mtu humu?Napambana mdogo mdogo
Yule aliyenicheka kumbe nae kapanda mtumbwi wa kibwengu[emoji23][emoji23][emoji23]dahToka mwaka huu uanze sijawahi kucheka kama leo hii mechi na @Frustation hii wakati nacheza jinsi mtu anavyokula kichapo nikukumbuka ametoka kumuambia Nkulu wa nchito mbovu kupitiliza baada kumpa dozi nimecheka mno huku mechi inaendelea tena kwa sauti kubwa kama mwehu nusu nivunje simu na nikafikia hatua ya kucheka mpk kulala chini alivyoQUIT na kukimbia hapa nilipo tumbo linauma aisee !! [emoji23] [emoji23] [emoji38]
View attachment 2325540View attachment 2325541Halafu nado hakomi namshauri kila siku acheze gemu la Sokoban au hata magari.
Nipo mmHakuna mtu humu?
Taja code au nikutajie mmHakuna mtu humu?
Taja code au nikutajie mm
Bado huyo namlia timing nadhan kesho utapata habari yangu[emoji23]Mkuu Nkulu wa nchito ndo umesarenda mbele ya adriz
Mbona kinyonge sana[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja code mwamba nikakufundisheHakuna mtu humu?
Andika goliNitajie
Andika goli
Andika goli
Nipe code japo mtandao unasumbua
Code InnovatorNipe code japo mtandao unasumbu