Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Umeona jinsi "Parching style " unavyofanya mpk umestaajabu jinsi magoli yanavyopatikana unapigwa kaunta ya ajabu na nilisema hii style hata mtu awe na wachezaji wenye nguvu kama Hulk watapigwa kama walevi [emoji23][emoji23][emoji23] Fene
Hao inavyoonesha vibonde kwel yani unawakung'uta unavyotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu uzi burudani kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa sasa hivi kala 3 amequit dkk ya 38 na alisema safari hii kaweka hahoteli 😂😂😂
Screenshot_20220816_194640.jpg
 
Nimeweka halotel hapa vipi nirudishe magoli yangu?
Jamaa kujisifia kote dkk ya 17 kala kamba mbili sasa akaquit kuogopa aibu sasa comment yake inamfunga na tulicheza fresh 2 hakuna kisingizio mtandao haukukata karesume ikajikata hapo inashiria kukimbia
Screenshot_20220816_194457.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu uzi burudani kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka mwaka huu uanze sijawahi kucheka kama leo hii mechi na @Frustation hii wakati nacheza jinsi mtu anavyokula kichapo nikukumbuka ametoka kumuambia Nkulu wa nchito mbovu kupitiliza baada kumpa dozi nimecheka mno huku mechi inaendelea tena kwa sauti kubwa kama mwehu nusu nivunje simu na nikafikia hatua ya kucheka mpk kulala chini alivyoQUIT na kukimbia hapa nilipo tumbo linauma aisee !! 😂 😂 😆
Screenshot_20220816_194457.jpg
Screenshot_20220816_194640.jpg
Halafu nado hakomi namshauri kila siku acheze gemu la Sokoban au hata magari.
 
Toka mwaka huu uanze sijawahi kucheka kama leo hii mechi na @Frustation hii wakati nacheza jinsi mtu anavyokula kichapo nikukumbuka ametoka kumuambia Nkulu wa nchito mbovu kupitiliza baada kumpa dozi nimecheka mno huku mechi inaendelea tena kwa sauti kubwa kama mwehu nusu nivunje simu na nikafikia hatua ya kucheka mpk kulala chini alivyoQUIT na kukimbia hapa nilipo tumbo linauma aisee !! [emoji23] [emoji23] [emoji38]
View attachment 2325540View attachment 2325541Halafu nado hakomi namshauri kila siku acheze gemu la Sokoban au hata magari.
Humu kuna wakina Mandonga wengi humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom