Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
- #801
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]mda gn utakuwa online tena cm yangu imezimika chaji najua umenifunga 2-1 nahitaji kulipa deni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]mda gn utakuwa online tena cm yangu imezimika chaji najua umenifunga 2-1 nahitaji kulipa deni
Na ww nakutafuta ngoja nimalizane na huyoHahahaha
Jina limemghalimuNinaposema Master huwa sibahatishi ona sasa Nkulu wa nchito timu yake Yange na kikosi change ambacho wachezaji wote wana bluuView attachment 2325521
Cha ajabu naye kala Rava4 😂😂😆View attachment 2325523Kitaalamu ataitwa kubwa Jinga 😂😂😂😆
Hamna siyo nne umenifunga 2-1 cm ikazimika chaji sema ukweli[emoji23][emoji23][emoji23]Ninaposema Master huwa sibahatishi ona sasa Nkulu wa nchito timu yake Yange na kikosi change ambacho wachezaji wote wana bluuView attachment 2325521
Cha ajabu naye kala Rava4 [emoji23][emoji23][emoji38]View attachment 2325523Kitaalamu ataitwa kubwa Jinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Wachezaji wangu wanasimama ila ww unafunga tu huna hata fair playNa ww nakutafuta ngoja nimalizane na huyo
Umeona jinsi "Parching style " unavyofanya mpk umestaajabu jinsi magoli yanavyopatikana unapigwa kaunta ya ajabu na nilisema hii style hata mtu awe na wachezaji wenye nguvu kama Hulk watapigwa kama walevi 😂😂😂 Fene[emoji23][emoji23][emoji23]mda gn utakuwa online tena cm yangu imezimika chaji najua umenifunga 2-1 nahitaji kulipa deni
Nililazimisha kucheza chaji ilikuwa na 11% ngoma itarudiwaNinaposema Master huwa sibahatishi ona sasa Nkulu wa nchito timu yake Yange na kikosi change ambacho wachezaji wote wana bluuView attachment 2325521
Cha ajabu naye kala Rava4 [emoji23][emoji23][emoji38]View attachment 2325523Kitaalamu ataitwa kubwa Jinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Game ya kwanza mtandao ulisimama hadi mawe ma 3 nikaanza kupata matokeo ila ulipoanza kukaa ! Ukawa umerudisha goli na kuongeza kamoja.Umeona jinsi "Parching style " unavyofanya mpk umestaajabu jinsi magoli yanavyopatikana unapigwa kaunta ya ajabu na nilisema hii style hata mtu awe na wachezaji wenye nguvu kama Hulk watapigwa kama walevi 😂😂😂 Fene
Ndio mbili kwa mmoja nakubali lakini mimi nafuata jinsi ubao inavyosema kwani kuna kosa gani ? 😂 😂 Yote kwa yote nikuzidi mno mpk unapata red mapema tu.Hamna siyo nne umenifunga 2-1 cm ikazimika chaji sema ukweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekubali upo vizuri unatoa ushindaniUmeona jinsi "Parching style " unavyofanya mpk umestaajabu jinsi magoli yanavyopatikana unapigwa kaunta ya ajabu na nilisema hii style hata mtu awe na wachezaji wenye nguvu kama Hulk watapigwa kama walevi [emoji23][emoji23][emoji23] Fene
Nawe tu mbovu kupitilizaNimekubali upo vizuri unatoa ushindani
Poa ,nafurahi kuona natetea taji langu la Umaster humu yaani kila mtu namkalisha mpk raha kwa vile Tz tupo chini kimataifa inabidi serikali ishauriwe kunituma mimi kuwakilisha inchi kwa hiki gemu kimataifa ili nikupe taifa langu heshima 😂😂😆😆Nililazimisha kucheza chaji ilikuwa na 11% ngoma itarudiwa
Wewe kivyovyote ukinifunga ninastaafu ramsi hili gemu yaani kila siku ukigusa moto unachapika kama mtoto mdogo halafu unapata ujasiri wa kutoa comment kama hii !Nawe tu mbovu kupitiliza
Nimeweka halotel hapa vipi nirudishe magoli yangu?Wewe kivyovyote ukinifunga ninastaafu ramsi hili gemu yaani kila siku ukigusa moto unachapika kama mtoto mdogo halafu unapata ujasiri wa kutoa comment kama hii !
Njoo tu code Delle4 😂😂😂Nimeweka halotel hapa vipi nirudishe magoli yangu?
Hahahahaha hivi unaundugu na mandonga?Poa ,nafurahi kuona natetea taji langu la Umaster humu yaani kila mtu namkalisha mpk raha kwa vile Tz tupo chini kimataifa inabidi serikali ishauriwe kunituma mimi kuwakilisha inchi kwa hiki gemu kimataifa ili nikupe taifa langu heshima 😂😂😆😆
Poa naingiaNjoo tu code Delle4 😂😂😂
Link hii jamani telegram DREAM LEAGUE TZHapa ni mahala salama kwa mpenzi wa Dream League Soccer(DLS). Game hili limetengenezwa na Kampuni ya FIRST TOUCH SOCCER(FTS). Game la DLS ni game bora zaidi kwa sasa duniani kwa upande wa soccer.
SIFA PEKEE YA DLS
1. Linachukua nafasi ndogo kwenye simu. Pamoja na ubora wake wa graphics bado game hii ina 500MB na ni tofauti na magame mengine yanaanza na 2GB mfano PES.
2. Uhalisia wa wachezani wa timu wanazochezea
Kitu pekee kinachotofautisha game hii na magame mengine ni uwezo wa ku update wachezaji kadri timu mpya zilivyo. Mfano Mess kwenye game hii anachezea PSG na magame mengine bado Mess anachezea Barcelona. Mfano FIFA hadi leo Xavi,Iniesta bado wanakipiga soka. Huko kwingine hata ukimtaka Gaucho au Drogba au Maradona au Arteta au Guardiola utawapata na bado wanacheza mpira. Ili kujua sajiri za ulaya na kwingineko karibu DLS utawajua wachezaji wote current.
3. Wepesi wa kucheza
Game hii haihitaji rocket science ili uweze kucheza kwani vya kuchezea viko 3 tu 1. B kwa ajili ya pass fupi 2. C kwa ajiri ya kuchop,kubadili wa kumchezesha na pass ya juu. 3. A kwa ajili ya shuti na pass ndefu. Vitufe vyote hivi unakadilia kwa kubovya tu ni simple sana kama kuvaa nguo tu.
4. Wachezaji hawatabiriki uwanjani
DLS huwezi kucheza kwa namna moja mfano, uje angle au sehemu fulani ukishuti ni goli au chenga fulani tu. Hili game sio la kukariri kama Real football lenyewe mchezaji akivuka tu mstari wa kati, apige hatua tatu alafu jaza shuti basi ni goli. Hili game ni real kweli yaani kunakipindi hadi unaacha kula.
5. Uwezo wa kucheza kwa kupanda daraja kwa kikosi chako
Huko kwingine unaambiwa chagua timu, na kisha uichezeshe. Huku mambo ni tofauti Kwanza utapewa squad yako na itabidi uipandishe daraja toka Academy, daraja la 4, 3, 2, 1, daraja la Junior kisha ligi kuu (Legendary). Kuna kupanda na kushuka katika ligi hili kwa hiyo sio ni burudani bulibuli. Pia kuna ligi zingine hapo kati yaani mfano tu wa shirikisho na uefa.
NB: Kikosi bora ndicho kinachoshinda. Game ni ya online(kwa ligi zote) na offline kwa friendly match.
View attachment 2099718View attachment 2099719View attachment 2099720View attachment 2099721View attachment 2099722
KARIBU KWA KUPEANA MAUJANJA NA STORI ZA GAME HILI
Best player kwa game hili ni Ngoro Kante na Mousa Sisoko. Hawa ni wachezaji wenye uwezo mkubwa sana katikati kwa maana wanakaba na kushambulia vizuri.
VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA MCHEZAJI
1. Acceleration
Kabla ya kumsajili mchezaji yeyote kwanza angalia acce yake ili awe na maamuzi ya haraka. Wengi sana wanaangalia speed tu ya mchezaji bila kuona acc yake. Hata ukimchukua mchezaji mwenye speed 100 ila kama acceleration yake ni 27 ni kazi bure kwani atachelewa kuanza kukimbia na ataporwa mpira mda wote.
2. Stamina
Baada ya kuona acceleration basi angalia stamina yake. Hapa panamwezesha mchezaji kukaba kwa nguvu lakini pia hanyang'anywi mpira kirahisi. Viungo na back wawe na stamina kubwa sana isiwe chini ya 75.
3. Speed
Kitu cha tatu ni pendwa kwa wachezaji wengi wa magame yani kukuimbia kwa kasi hasa kwa fowadi na back za pembeni. DLS wanashambulia sana winga hivyo hakikisha back zako namba 2 na 3 wanakuwa na speed kubwa na acceleration kubwa.
NB: Usimruhusu adui apige kross ni hatari sana, kabla adui hajapiga kross press A ila uwe kwa pembeni yake na umsogee sana ili apige takoling. Takoling ya mbele ni kwa mbali kiasi ili mpira uwahi kuugusa ili kuepusha umeme.
4. Head
Kwa beki za kati head nzuri sana kwani mipira ya kona na kross itasaidia sana kuokoa. Uwezo wa kupiga kichwa ni kwa beki na viungo.
5. Shoot na pass
Kwa fowadi pia lazima uangalie uwezo wao wa kushuti ili hata nje ya 18 uwe unashuti na unafunga. Poor shoot inapelekea kupaisha au shuti kuwa chakula kwa golikipa.
NB. Formation au mfumo mzuri ni 4 4 2 na weka defensive kama unajifunza, moderate kama mchezaji wa kawaida na Attacking kama mzoefu kama mm.
Pia ukifungwa au kufunga unaweza kubadili ili kuendana na mchezo.
PoaLink hii jamani telegram DREAM LEAGUE TZ