Dream League Soccer Special Thread

Sio 7 ni 9 kabisa
Duh ! 😂 😂

Natabiri wewe ndio utakua mrithi wangu humu maana haukati tamaa na unajiamini japo unacheza kipigo ,ukikiimarisha kikosi chako utatisha sana .
 
Napambana mdogo mdogo
Duh ! 😂 😂

Natabiri wewe ndio utakua mrithi wangu humu maana haukati tamaa na unajiamini japo unacheza kipigo ,ukikiimarisha kikosi chako utatisha sana .
 
Yule aliyenicheka kumbe nae kapanda mtumbwi wa kibwengu[emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…