Dream League Soccer Special Thread

Kula sana jaramba adriz, mwisho wako umewadia

Fanya coaching za kutosha
Piga sana event

Ila nakwambia tu aibu yako ipo njiani, haitokuwa 3 1 tena,
Muhimu fahamu aibu yako ipo njiani
 
Kula sana jaramba adriz, mwisho wako umewadia

Fanya coaching za kutosha
Piga sana event

Ila nakwambia tu aibu yako ipo njiani, haitokuwa 3 1 tena,
Muhimu fahamu aibu yako ipo njiani
Mimi sina coaching kikosi changu kinatosha kumaliza Kazi hata wakicheza 8
 
Mimi sina coaching kikosi changu kinatosha kumaliza Kazi hata wakicheza 8
Hebu kaiangalie tena game ya kwanza ya liver na man u ya mwaka jana kwa umakini kabisa

Ule utakuwa mfano wa aibu yako ule
 
Hebu kaiangalie tena game ya kwanza ya liver na man u ya mwaka jana kwa umakini kabisa

Ule utakuwa mfano wa aibu yako ule
Kwa sasa sitaki kuonga sana maana nitapunguza mood ya kutoa kichapo nataka kichapo kiongee we nitag tu muda ukifika nikate mzizi wa fitina .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…