Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Kula sana jaramba adriz, mwisho wako umewadiaSina mkali wangu humu mimi ndio mfamle wa humu anayebisha aweke takwimu na sababu za kwa nini yeye mfamle .
Nikifungwa na mtu yeyote kuanzia sasa kwa tukiruka kwa idadi za mechi tulizo kubaliana na akanizidi points natangaza kumpa ufalme rasmi kwani naona humu wote viande bora nitafute magroup nijipime uwezo kwao mabingwa.
Fanya coaching za kutosha
Piga sana event
Ila nakwambia tu aibu yako ipo njiani, haitokuwa 3 1 tena,
Muhimu fahamu aibu yako ipo njiani