Poa sio shida na hata leo nikikufunga sitotamba sana, ntakusubir j.nne zile game zetu tatu ndo nimalize shughuli, na nichukue kiti rasmiMtandao haupo sawa kwa hiyo hatujamaliza mkataba wetu sawa? maana usianze kutukana Mamba kabla ya kuumaliza mto.
Hayo matokeo ni batili coz tuliahidiana mechi mbili na mechi za mbili Huwa natoa kipigo heavy kama juzi ulivyokula sita licha ya kushinda mchezo wa nyuma yake sasa inabidi uelewe
[emoji23][emoji23]
Mbona maji utaita mma tu, eti matokeo batili [emoji23]Hayo matokeo ni batili coz tuliahidiana mechi mbili na mechi za mbili Huwa natoa kipigo heavy kama juzi ulivyokula sita licha ya kushinda mchezo wa nyuma yake sasa inabidi uelewe
Endelea kumponza tu mwenzako, nikukumbushe tu game 3 za mwisho kati yangu na yako umekufa mara mbil una ushind mmojaJaribu na Fene huyo hata ukiwa na wachezaji wa Taifa staz unapiga tu ni kibonde wa kiwango cha juu.
Mbona unaweka tatu na siyo kumi au tano ? π π π na katika hizi tatu mbona haujaweka rekodi ya kukupiga 6 kipigo ambacho hakijawahi kutolewa na yeyote humu ?Endelea kumponza tu mwenzako, nikukumbushe tu game 3 za mwisho kati yangu na yako umekufa mara mbil una ushind mmoja
Na ushukuru jana ulikimbia la sivyo[emoji23][emoji23]
End of adriz era
Asikuponze mwenzako huyo,Haha
Hata Man U matokeo ya mwisho wameshinda Je yupo nafasi ya ngapi? π π πAsikuponze mwenzako huyo,
Tazama matokeo ya mwisho hapo juu halafu muulize timu yako ni ipi hapo?
Rekodi yako haina mashiko sana ungejitahid walau ungeshinda 6 kwa 1 au 6 kwa 2 lakin 6 kwa 3Mbona unaweka tatu na siyo kumi au tano ? [emoji23] [emoji23] [emoji38] na katika hizi tatu mbona haujaweka rekodi ya kukupiga 6 kipigo ambacho hakijawahi kutolewa na yeyote humu ?
Kati ya 4 na 6 upi kubwa unajua timu fulani na timu falani ukicheza rekodi muhimu zinaangaliwa ;Rekodi yako haina mashiko sana ungejitahid walau ungeshinda 6 kwa 1 au 6 kwa 2 lakin 6 kwa 3
Kumbuka nishakufunga 4 kwa 1
We endelea kuongelea hizo historia lakin jua ndo basi tena, siku hiz utafurahi ukiangalia hizo historia tu kibaya zaid hata historia zenyewe zinaenda kufutika ssaKati ya 4 na 6 upi kubwa unajua timu fulani na timu falani ukicheza rekodi muhimu zinaangaliwa ;
*kafungwa mabao mengi
*Kipigo kikubwa zaidi
*Nani aliyeshinda mechi nyingi zaidi
Kati ya hizo kila kipengele wewe ni looser [emoji23][emoji23][emoji38] hapo rekodi nyingine nimeficha kuogopa wageni na wakina kangaloo wasikubeze na kukudharau.
Sasa mimi sitaki mambo ya historia coz najiamini ni Master ndio maana nimekupa mechi tatu tu najivua ukifunga mechi nyingi zaidi Kati ya hizo najivua vyeo vyangu vyote, haya kazi min kwako kupambana univue crown ya uKing humu [emoji146] [emoji146][emoji146]
Na nikikufunga itabidi kuchagua jina jipya maana la chini zaidi maana hautakuwa tena na hadhi ya kuitwa kiande tena coz hata kiande atakuwa amekuzidi ubora .We endelea kuongelea hizo historia lakin jua ndo basi tena, siku hiz utafurahi ukiangalia hizo historia tu kibaya zaid hata historia zenyewe zinaenda kufutika ssa
Huna jipya tena
Nb/ nikikuwasha zile game 3 uje hapa kunipa heshima yangu