Umekuja leo halafu unataka kubattle na Master au King wa huu uzi ?shukran mkuu nipe code yako nikakukande
Upo niweke code ?QMLMMS
kiwango chako sio kibaya na ushukuru sijataka kukuaibisha hzo chache zinakutosha[emoji28]QMLMMS
mwenzako nimemnyoosha hukoUmekuja leo halafu unataka kubattle na Master au King wa huu uzi ?
Pambana na vidagaa kwanza uwezo wako ukinivutia kisha tubattle.
MmNEXT!!
Yupo humu Jf au umeokota mlevi njiani ?mwenzako nimemnyoosha hukoView attachment 2365090
MmNEXT!!
[emoji3][emoji3]Yupo humu Jf au uneokota mlevi njiani ?
hahahhaha humuhumuYupo humu Jf au umeokota mlevi njiani ?
nipe code mkuu
Mtaje nimjue kiande gani ?hahahhaha humuhumu
Mtaje uliyemfunga kama yupo humu nikupe code turuke chap.nipe code mkuu
[emoji23] acha nimlindie heshma yake ila timu yake ndo hyo MAMELODYMtaje nimjue kiande gani ?
[emoji23] acha nimlindie heshma yake ila timu yake ndo hyo MAMELODY
Mimi kigezo changu kwa mgeni amfunge mtu humu sasa usipomtaja utakosa vigezo vya kucheza nani.[emoji23] acha nimlindie heshma yake ila timu yake ndo hyo MAMELODY
anaitwa ukakaidi utapigwa tu,haya nipe code chap nikakunyoosheMimi kigezo changu kwa mgeni amfunge mtu humu sasa usipomtaja utakosa vigezo vya kucheza nani.
ukikaidi utapigwa2 kama unafungwa na mgeni utaweza moto wa master ? wewe nenda kacheze magemu ya kupanga viboksi tu.anaitwa ukakaidi utapigwa tu,haya nipe code chap nikakunyooshe
1020A twende chapanaitwa ukakaidi utapigwa tu,haya nipe code chap nikakunyooshe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23] mkuu umetoa timu uwanjani1020A twende chap
Simu ilikua ina stuck angalia statisticsmwenzako nimemnyoosha hukoView attachment 2365090