Dream League Soccer Special Thread

kwahyo Mkuu unanishauri nilirestart Simu Litakubali ?
 
Nimefany kam hivyo ila bado tu inasumbua Nimeona kuna videos Youtube zinashauri Kudownload Kwa mfumo wa Apk+Obb+ Data alf unazipanga kwenye Files husika alf una install Apk,

Sasa hap Nahofia asije nikapoteza Mbs zangu kudownload hizo files zote alafu Bado likagoma Kucheza,

So kam kuna mtu labda unamjua ana Link ya uhakika nayoweza kudownload hili Dls 23 kw Mfumo huo bas Anipe hiyo Link nidownload maan hizi Link za Youtube huwa Siziamini sana mara nyingi huwa Games zake huwa hazichezi.
 
Ukidownliad njeya play store itakulazimu ku update game yako to play store au itakataa jumla
 
Naendeleza dozi nzito kama ada yangu ,sikumbuki siku ambayo Fene umenifunga siku nzima bila ushindi ila mimi kawaida sana kujutia kapa kama leo nilivyokupiga kama ngoma 😆😆😂
 
Soma tena hii comment yako Fene The kiande hata wapi jeuri imeniponza?
 
Fene bado huu uzi kwako umekua mchungu sidhani kama nado una ujasiri wa kutaka mechi na mimi The Master ..
 
Fene bado huu uzi kwako umekua mchungu sidhani kama nado una ujasiri wa kutaka mechi na mimi The Master ..
Nitakuchek kama baada ya wik hiv, now nipo ktk free bundle Airtel haina nguvu ktk maangamiz
 
Da nime download Dream league yaani Ile naanza kufanya settings nashangaa simu inazima yaan nimepaniki imesizi kama nusu saa hivi...
Sijui Lina virus
 
Master nauliza nani mwingine anahitaji kichapo na kudai ufalme humu ? Kiande Fene nimeshamshona mdomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…