Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
kwahyo Mkuu unanishauri nilirestart Simu Litakubali ?Hata mimi simi yangu Ram 2 gb android 10 kuna wakati nikiupdate playstore ilikuwa inaleta ujumbe huo mpk nikawa ninafuta na kudowload upya linakubali ikija updates inazingua ikifika mwishoni wakati wa kudowload mpaka nikahamisha mafile na kurestore simu now imekubali.
Tatizo hilo playstore wanalo niliseacrch Youtube jinsi ya kusolve wengi wametoa njia kwamba unahold app inaenda kwenye app info kisha unaclear caches and data kisha download upya, wengi hii imewasaidia nenda youtube utaona maelekezo zaidi .