adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Delle4Kwa code gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Delle4Kwa code gani?
Uchezaji huo utapigwa na utakuwa shabiki wangu sio mda mrefu na unasafari ndefu sana kufikia level hii. Kuna siku uliongea sana hapa ila nilikuwa nakulia timing na safari hii lazima ukaeMimi pasi mbili golini naweza nikawa na possession 30% lakini nampiga mtu nyingi.
Ngoja nikakojoe kabisa alafu nikupigeDelle4
Mimi Master wa gemu hili wenye gemu inabidi wanitafute wanipe tuzo special , ukijichanganya umeumia..Uchezaji huo utapigwa na utakuwa shabiki wangu sio mda mrefu na unasafari ndefu sana kufikia level hii. Kuna siku uliongea sana hapa ila nilikuwa nakulia timing na safari hii lazima ukae
Mechi 2 tu usije ukafungwa ukawa unataka kupigika zaidi ili ulipe kisasi.Poa
Ngoja nikakojoe kabisa alafu nikupige
Nimehuzunika sana kukufunga goli mbili tu 😢😢Ingia
Tafuta gemu la kucheza hata kupanga viboksi kwani unasafari ndefu kufikia uwezo wa kunifunga .Ww
Ww wakunifunga mm kweli? Dunia hii maajabu hayaishi
Njoo online nikufungeTafuta gemu la kucheza hata kupanga viboksi kwani unasafari ndefu kufikia uwezo wa kunifunga .
Na kwa hapa Jf sina mpinzani kabisa na huko mtaani kwenu kama kuna bingwa wa dreams League mlete kwangu ili ajue kiwango chake halisi..
Njoo online tucheze dream leagueAlie online nipe code
Nitakuja saa 2:30 na saa 3 usiku kama unataka kipigo kuwa live mida hiyo ninayeongea ni Master wa Dream league na bingwa ninayeogopeka hapa Jf..Njoo online nikufunge
Cm yako mtandao unaganda gandaTafuta gemu la kucheza hata kupanga viboksi kwani unasafari ndefu kufikia uwezo wa kunifunga .
Na kwa hapa Jf sina mpinzani kabisa na huko mtaani kwenu kama kuna bingwa wa dreams League mlete kwangu ili ajue kiwango chake halisi..
Kwani matokeo ngapi ngapi?Nitakuja saa 2:30 na saa 3 usiku kama unataka kipigo kuwa live mida hiyo ninayeongea ni Master wa Dream league na bingwa ninayeogopeka hapa Jf..
Kuna mtu alinipigia hapo ikakwama , ila mechi zote mbili zilizofika dk90 mzigo ulipiga fresh 2Cm yako mtandao unaganda ganda
Mimi hata nikiwa kiwango changu kibovu lazima mtu akae hata ikiwa kimoja. Mimi naweza kucheza mkono mmoja huku nimejifunga kitambaa cheupe machoni na usinifunge kwa jinsi ninavyotisha.Kwani matokeo ngapi ngapi?
Mm nimepata matokeo mazuri zaidi dhidi yakoMimi hata nikiwa kiwango changu kibovu lazima mtu akae hata ikiwa kimoja. Mimi naweza kucheza mkono mmoja huku nimejifunga kitambaa cheupe machoni na usinifunge kwa jinsi ninavyotisha.
Matokeo gani hayo ?Mm nimepata matokeo mazuri zaidi dhidi yako
Connection problem wakati mamiliki mm ikirudi mpira umepita naoKuna mtu alinipigia hapo ikakwama , ila mechi zote mbili zilizofika dk90 mzigo ulipiga fresh 2
Mimi halo hiyo hainitokei na mechi zote zimemalizika bila kukwama kwama labda tatizo lilikuwa mtandao wako na kusema mtandao uzingue asubuhi sio kweli bali ni visingizio tu.Nacheza
Connection problem wakati mamiliki mm ikirudi mpira umepita nao