Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mimi pasi mbili golini naweza nikawa na possession 30% lakini nampiga mtu nyingi.
Uchezaji huo utapigwa na utakuwa shabiki wangu sio mda mrefu na unasafari ndefu sana kufikia level hii. Kuna siku uliongea sana hapa ila nilikuwa nakulia timing na safari hii lazima ukae
 
Mimi Master wa gemu hili wenye gemu inabidi wanitafute wanipe tuzo special , ukijichanganya umeumia..
 
Nimehuzunika sana kukufunga goli mbili tu 😢😢
Screenshot_20220731_072858.jpg

Mimi wa kushinda goli moja kweli ?
Screenshot_20220731_071820.jpg
 
Ww

Ww wakunifunga mm kweli? Dunia hii maajabu hayaishi
Tafuta gemu la kucheza hata kupanga viboksi kwani unasafari ndefu kufikia uwezo wa kunifunga .

Na kwa hapa Jf sina mpinzani kabisa na huko mtaani kwenu kama kuna bingwa wa dreams League mlete kwangu ili ajue kiwango chake halisi..
 
Njoo online nikufunge
 
Cm yako mtandao unaganda ganda
 
Nitakuja saa 2:30 na saa 3 usiku kama unataka kipigo kuwa live mida hiyo ninayeongea ni Master wa Dream league na bingwa ninayeogopeka hapa Jf..
Kwani matokeo ngapi ngapi?
 
Kwani matokeo ngapi ngapi?
Mimi hata nikiwa kiwango changu kibovu lazima mtu akae hata ikiwa kimoja. Mimi naweza kucheza mkono mmoja huku nimejifunga kitambaa cheupe machoni na usinifunge kwa jinsi ninavyotisha.
 
Mm nimepata matokeo mazuri zaidi dhidi yako
 
Nacheza
Kuna mtu alinipigia hapo ikakwama , ila mechi zote mbili zilizofika dk90 mzigo ulipiga fresh 2
Connection problem wakati mamiliki mm ikirudi mpira umepita nao
 
Mimi halo hiyo hainitokei na mechi zote zimemalizika bila kukwama kwama labda tatizo lilikuwa mtandao wako na kusema mtandao uzingue asubuhi sio kweli bali ni visingizio tu.
 
Haa sawa sema saizi mtandao unasumbua ningekuonyesha namna ya kuwa mpole wa maneno yaani kwa lugha nyepesi ni kukushikisha adabu
 
Back
Top Bottom