Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
- #1,021
Isije ukasema nimekukumbia ila mtandao umeshuka sanaDelle4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isije ukasema nimekukumbia ila mtandao umeshuka sanaDelle4
Mechi 2 zote nimekupigaWewe kiande bado sana umebahatisha mechi moja ndio unajisifu...
Wewe bado sana mechi moja tu umebahatisha na hapo ndio mwisho hutoboi tena.Isije ukasema nimekukumbia ila mtandao umeshuka sanaView attachment 2331961
Moja si penati ?Mechi 2 zote nimekupiga
Mm nilikuambia mapema kama unakumbuka kikosi changu kipo dhaifu ila nikisajiri utapigwa sana.we hukutaka kusikia ukaongea sana humu,ukatamba sana humu na ukajisahau sana humu na sasa unalialia. Hunifungi tena nakuahidi adrizWewe bado sana mechi moja tu umebahatisha na hapo ndio mwisho hutoboi tena.
Twende saaa hivi kama unajiaminiMm nilikuambia mapema kama unakumbuka kikosi changu kipo dhaifu ila nikisajiri utapigwa sana.we hukutaka kusikia ukaongea sana humu,ukatamba sana humu na ukajisahau sana humu na sasa unalialia. Hunifungi tena nakuahidi adriz
Wewe kibonde kabisa humu kuna viande mpk naona kiwango changu kinaharibika coz sipewi ushindani.Saa hz mjipange sana cku hz napiga watu goli nyingi
Mtandao upo down sana alafu usiseme kama vile dk 5 za nyuma hatukuwa huko.Twende saaa hivi kama unajiamini
Ebu weka ubishi pembeni, leo umeonaje kiwango changu?Wewe kibonde kabisa humu kuna viande mpk naona kiwango changu kinaharibika coz sipewi ushindani.
Wewe si nilikupiga mpk ukakimbia ? shinda angalau mechi tatu dhidi yangu kisha uwe na kauli za kishujaa unajiamini wakati kwenye mechi kumi umeshinda moja huo si ukichaa 😂😂😆Mwenzako alikuwa anaongea sana ila sasa anaomba poo. Na ww acha kuongea ili yasikukute yanayomkuta adriz mda huu maana amekuwa ni mtu wa kuonewa huruma
Neno moja kwa game tulizocheza leo, ndio haya?Wewe si nilikupiga mpk ukakimbia ? shinda angalau mechi tatu dhidi yangu kisha uwe na kauli za kishujaa unajiamini wakati kwenye mechi kumi umeshinda moja huo si ukichaa 😂😂😆
Kimeongezeka kidogo mwanzo nikicheza na wewe nawaza kushinda goli 5 sasa hivi inabidi niwaze 3 tu.Ebu weka ubishi pembeni, leo umeonaje kiwango changu?
Hahahaha woyo woyo woyoooooo ameanza kukubali mwenyeweeee ila mm bado nawaza kushinda goli kuanzia 5+ nikicheza na wewe. Ila mzee baba Neymar' na Mane unawatumia vizuri sana hadi wananipa shida kuwakaba kwa ile speed na nguvu yaoKuongezeka kidogo mwanzo nikicheza na wewe nawaza kushinda goli 5 sasa hivi inabidi niwaze 3 tu.
Nitamsajiri neymar' na Mane kumbe wazuri sanaKimeongezeka kidogo mwanzo nikicheza na wewe nawaza kushinda goli 5 sasa hivi inabidi niwaze 3 tu.
Wale hatari sana kwa akili yao nimekuza Mbape,Ronaldo,Benzema na Kane wote nk kila nikiwasajili naona hawawazidi hao majamaa na hapo nimewajaza Wana 86 je wakififa 90 au 90+ si timu yangu itakua moto kabisa ...Hahahaha woyo woyo woyoooooo ameanza kukubali mwenyeweeee ila mm bado nawaza kushinda goli kuanzia 5+ nikicheza na wewe. Ila mzee baba Neymar' na Mane unawatumia vizuri sana hadi wananipa shida kuwakaba kwa ile speed na nguvu yao
Wamenisaidia sana wakati mwingine kwenye events nakutana na timu kubwa kabisa ila spidi zao napiga kaunta moja nashinda gemu.Nitamsajiri neymar' na Mane kumbe wazuri sana